Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Spika Kificho afichua siri ya migogoro ndani ya vyama

Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar,Pandu Ameri Kificho.
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Pandu Ameri Kificho, amesema migogoro mingi inayozuka ndani ya vyama vya siasa inasabishwa na kutokuheshimiwa kwa taratibu na kanuni za kidemokrasia ambazo ndiyo msingi wa utawala bora.

Aliyasema hayo wakati akifungua maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kidemokrasia yaliofanyika kilimani visiwani hapa na kuwataka vijana kujitambua na kuwa tayari kushiriki katika nafasi mbalimbali za...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Spika Kificho aundiwa zengwe

MTAFARUKU wa aina yake umejitokeza miongoni mwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, ambao vilevile ni wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, baada ya waraka unaodaiwa kuwa wa kughushi kukamatwa...

 

9 years ago

Habarileo

Warioba afichua siri ya Ukawa

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amefichua siri ya vyama vya upinzani vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), akisema vilikwamisha mchakato huo ili baadaye viingize vipengele vyao wakiingia madarakani.

 

9 years ago

Habarileo

Pluijm afichua siri ya usajili

KOCHA wa Yanga Mholanzi Hans van der Pluijm, ameweka wazi sababu ya kuendelea kusajili kwenye dirisha dogo ni kuifanya timu hiyo iwe bora Afrika. Alisema lengo ni kuepuka kikosi chake kutegemea baadhi ya wachezaji pindi wanapokuwa katika ushindani mkubwa kama ilivyo sasa.

 

9 years ago

Habarileo

Butiku afichua siri ya Lowassa

WAKATI hekaheka za kuondoka kwa Edward Lowassa kuingia Chadema zikiwa bado zina mjadala mkali, jana Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Foundation (MNF), Joseph Butiku ametoboa siri iliyokaa takribani miongo mitatu ya kundi la mtandao na mashtaka dhidi ya Lowassa yaliyofanywa na aliyekuwa Rais wa awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi.

 

9 years ago

Mwananchi

Kerr afichua siri ya Simba

Kocha wa Simba, Dylan Kerr ametaja sababu kadhaa zinazoifanya timu yake ishindwe kupata matokeo mazuri kwenye mechi za Ligi Kuu.

 

10 years ago

GPL

RAY AFICHUA SIRI YA CHUCHU!

Imelda Mtema, Zanzibar Muigizaji mahiri wa kiume hapa Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’amefichua siri iliyomfanya kunasa kwa staa mwenzake Chuchu Hans, na hata kupata msukumo wa kumuweka hadharani tofauti na tabia yake ya nyuma ya kutopenda kumuanika mpenzi wake. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1KxtMp7

 

10 years ago

Mwananchi

Okwi afichua siri Simba

Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi (pichani) ameshangazwa na madai kuwa amechelewa kujiunga na timu hiyo wakati uongozi wake haukumwambia muda anaotakiwa kurudi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Singano ‘Messi’ afichua siri ya mafanikio

KIUNGO nyota wa Wekundu wa Msimbazi, Simba, Ramadhani Singano ‘Messi’ ameitaja siri ya mafanikio yake dimbani kuwa ni kujituma, huku akikabidhi harakati zake mikononi mwa Mwenyezi Mungu, anayemuwezesha kufanya mambo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani