Star Wars: The Force Awakens aliyoigiza Lupita Nyong’o yaingiza $1bn siku 12 baada ya kuingia kwenye majumba ya sinema
Star Wars: The Force Awakens imekuwa filamu iliyoingiza dola bilioni 1 haraka zaidi kwenye majumba ya sinema duniani.
Filamu hiyo ya JJ Abrams imefikia mafanikio hayo siku 12 tu baada ya kutoka na kuvunja rekodi iliyopita ya siku 13 iliyowekwa na filamu Jurassic World June, mwaka huu.
Hata hivyo Jurassic World ilipata mafanikio hayo kwa kuoneshwa China zaidi ambako The Force Awakens bado haijaoneshwa huko.
Star Wars pia iliingia fedha nyingi siku ya Christmas kwa Marekani kwa kuvuta $49.3m....
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili03 Jun
STAR WARS yamnyakua Lupita Nyong'o
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/75256000/jpg/_75256417_75253753.jpg)
Lupita Nyong’o joins Star Wars cast
9 years ago
Bongo519 Nov
Filamu ya Going Bongo kuanza kuoneshwa kwenye majumba sinema Dar kuanzia Dec 11
![Going Bongo filamu (31)](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Going-Bongo-filamu-31-300x194.jpg)
Filamu ya Going Bongo itaanza kuoneshwa kwenye majumba ya sinema jijini Dar es Salaam, ikiwemo Century Cinemax kuanzia December 11.
Filamu hiyo iliyoshinda tuzo ya Best East African Film (ZIFF) na Best International Film (BEFFTA UK) imechezwa na Ernest Napoleon.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Bongo505 Dec
Kuoneshwa kwa ‘Going Bongo’ kwenye majumba ya sinema Tanzania kutaandika historia muhimu – Ernest Napoleon
![Ernest Kuonyeshwa_4](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Ernest-Kuonyeshwa_4-300x194.jpg)
Muigizaji wa filamu ya Going Bongo, Ernest Napoleon anaamini kuwa kuoneshwa kwa filamu ya Going Bongo kwenye majumba ya sinema nchini kutaandika historia muhimu kwenye tasnia ya filamu ya Tanzania.
Napoleon amedai kuwa uoneshwaji wa filamu kwenye majumba ya sinema ndio msingi wa mafanikio kwa soko la filamu katika nchi zilizoendelea.
Filamu yake ya Going Bongo itaanza kuoneshwa December 11, kwenye ukumbi wa sinema wa Century Cinemax uliopo Mlimani City jijini Dar es Salaam.
“Tunajaribu...
9 years ago
Bongo514 Dec
Wapeni movie nzuri, wabongo wanaweza kwenda kuangalia filamu za kibongo kwenye majumba ya sinema
![12356420_957636774330521_1441234626_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12356420_957636774330521_1441234626_n-300x194.jpg)
Jumamosi hii nilipata bahati ya kwenda kuangalia filamu ya Going Bongo kwenye jumba la sinema la Century Cinemax lililopo Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Going Bongo ni filamu pekee iliyochezwa na Watanzania, inayooneshwa hapo. Kwa wiki hii filamu zingine zinazooneshwa ni pamoja na The Peanut Movie, The Good Dinosaur, Tamasha, Spectre, Hate Story 3, In The Heart of The Sea na zingine.
Mimi niliangia kuangalia Going Bongo kuanzia saa mbili usiku, ikiwa ni siku ya pili tangu ianze...
10 years ago
Bongo503 Apr
Mamia wafurika kuangalia #Furious7 kwa mara ya kwanza kwenye majumba ya sinema Dar tiketi zaisha
5 years ago
Bongo Movies02 Mar
Monalisa kuwabwaga kina Lupita Nyong’o?
Baada ya muigizaji wa filamu nchini Yvonne Cherrie ‘Monalisa’ kutajwa kuwania tuzo za The African Prestigious Awards kama Muigizaji bora Afrika huku akitarajiwa kushindana na mastaa wakubwa Afrika amesema hata asipopata tuzo tayari anaamini ni hatua
Monalisa amezungumza hayo wakati akikabidhiwa bendera ya Taifa na Waziri wa Habari, Michezo, Sanaa na Utamaduni, Mh. Harrison Mwakyembe ambapo amesema kuwa ingawa anaamini atarudi nchini na tuzo hizo lakini hata akizikosa ni moja ya ushindi...
9 years ago
BBCSwahili28 Dec
Stars Wars yavunja rekodi ya kuvuna $1bn