Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sudan Kusini wasaini makubaliano 43 ya kutatua mgogoro wao

Viongozi wa Chama tawala cha nchini Sudan Kusini, Sudan People Liberation Movement (SPLM) wametakiwa kuheshimu makubaliano 43 waliyosaini juzi usiku ili kusitishwa vita na kurejesha amani na kuifanyia marekebisho katiba ya nchi hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Misri yapongeza makubaliano Sudan Kusini

WIZARA ya Mambo ya Nje nchini Misri imepongeza makubaliano yaliyosainiwa na viongozi wa chama tawala cha SPLM, cha Sudan Kusini yenye lengo la kuwaunganisha upya viongozi wa chama hicho na kujenga mkakati imara wa kuboresha chama ili kupunguza mgogoro uliodumu nchini humo tangu Desemba 2013.

 

10 years ago

BBCSwahili

US:Sudan Kusini sharti ihakiki Makubaliano

Marekani yaonya kuwa itachukua hatua kali dhidi ya pande zote

 

10 years ago

Mwananchi

Malecela asuluhisha mgogoro wa Sudan Kusini

Viongozi waliogawanyika na kuanzisha mapigano ya wenyewe kwa wenyewe ndani ya chama tawala cha Sudan People Liberation Movement (SPLM), Sudan Kusini wamekubaliana kuwajibika ili kurejesha amani na utulivu nchini humo.

 

10 years ago

BBCSwahili

SPLM kumaliza mgogoro Sudan Kusini

Vikundi vinavyopingana nchini Sudan Kusini vimesaini mkataba wa amani nchini Tanzania, ukilenga kumaliza mgogoro ulioua maelfu ya watu katika taifa hilo

 

10 years ago

Mwananchi

Tanzania tunajifunza nini mgogoro Sudan Kusini?

Januari 21, mwaka huu, Tanzania iliendelea kujiweka katika mstari wa juu kwenye masuala ya diplomasia amani ndani ya nchi za Bara la Afrika.

 

5 years ago

BBCSwahili

Mahasimu wa Sudan Kusini wamesaini makubaliano ya kugawana madaraka, hii ina maana gani?

Utekelezwaji wa mkataba wa amani kwa Sudan Kusini ni jambo ambalo limeyumbisha nchi hiyo kwa miaka.

 

10 years ago

Mwananchi

Ukawa wasaini rasmi makubaliano

Viongozi wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), jana walifikia maridhiano ya kusimamisha mgombea mmoja katika ngazi ya udiwani atakayeungwa mkono na vyama vinne vinavyounda umoja huo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Uchumi wasaini makubaliano na AMREF

DUKA la kujihudumia la Uchumi limeingia katika makubaliano maalumu na Mfuko wa Matibabu na Utafiti wa Kiafrika (AMREF) ili kuhakikisha michango yake inakuwa na matokeo makubwa kwa walengwa. Meneja wa...

 

10 years ago

Vijimambo

UTIAJI SAINI MKATABA WA MAKUBALIANO YA KUKIUNGANISHA CHAMA CHA SPLM CHA SUDAN KUSINI JIJINI ARUSHA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Salva Kiir Mayardiy waSudan ya Kusini (kushoto), Makamu wa Rais wa zamani wa Sudan Dkt RiekMachar Teny (wa pili kulia) na Bw. Deng Alor Kuol wakitia sainimkatana wa makubaliano ya kukiunganisha upya chama cha SPLM chaSudani Kusini katika hoteli ya Ngurdoto jijini Arusha Jumatano Januari21, 2015 usiku. Nyuma yao ni mjane wa marehemu John Garang aliyekuwaMwenyekiti wa SPLM Mama Rebecca Nyandeng de Mabior na Afisa wa Wizaraya Mambo ya Nje na Ushirikiano...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani