Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania tunajifunza nini mgogoro Sudan Kusini?

Januari 21, mwaka huu, Tanzania iliendelea kujiweka katika mstari wa juu kwenye masuala ya diplomasia amani ndani ya nchi za Bara la Afrika.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Ugunduzi wa gesi: Tanzania tunajifunza nini kwa Norway

Soko kubwa la mafuta na gesi asilia katika bara la Ulaya inaelezwa kuwa limetekwa na Norway. Shirika la ‘The U.S Energy Information Administration (EIA) linaitaja Norway kama taifa la tatu katika ushindani wa soko la gesi na mafuta duniani, ikitanguliwa na Urusi na Qatar.

 

10 years ago

BBCSwahili

SPLM kumaliza mgogoro Sudan Kusini

Vikundi vinavyopingana nchini Sudan Kusini vimesaini mkataba wa amani nchini Tanzania, ukilenga kumaliza mgogoro ulioua maelfu ya watu katika taifa hilo

 

10 years ago

Mwananchi

Malecela asuluhisha mgogoro wa Sudan Kusini

Viongozi waliogawanyika na kuanzisha mapigano ya wenyewe kwa wenyewe ndani ya chama tawala cha Sudan People Liberation Movement (SPLM), Sudan Kusini wamekubaliana kuwajibika ili kurejesha amani na utulivu nchini humo.

 

10 years ago

Mwananchi

Sudan Kusini wasaini makubaliano 43 ya kutatua mgogoro wao

Viongozi wa Chama tawala cha nchini Sudan Kusini, Sudan People Liberation Movement (SPLM) wametakiwa kuheshimu makubaliano 43 waliyosaini juzi usiku ili kusitishwa vita na kurejesha amani na kuifanyia marekebisho katiba ya nchi hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Tunajifunza nini kutoka Burkina Faso?

Hamkani si shwari nchini Burkina Faso. Utawala wa Rais Blaise Compaore umefikia tamati baada kuzidiwa na nguvu ya umma.

 

10 years ago

Mwananchi

Wadau tunajifunza nini kutoka kwa Diamond?

Wakati mwingine mtu mashuhuri anaweza kutoa somo kwa mamilioni ya watu, ikiwa atafuatiliwa kwa umakini. Hivi ndivyo inavyowapasa Watanzania kutafakari kwa kuangalia nini anachokifanya mwanamuziki Diamond Platnumz hasa katika upande wa kazi yake ya muziki.

 

11 years ago

Mwananchi

Tunajifunza nini kifo cha Betty Ndejembi?

Betty Ndejembi ni msichana mrembo na mwanamitindo ambaye anatumia sana huduma za mitandao ya kijamii kwa ajili ya shughuli zake mbalimbali za kujiingizia kipato na kujitangaza zaidi.

 

11 years ago

Dewji Blog

11 years ago

Habarileo

Tanzania kusuluhisha mgororo Sudan Kusini

TANZANIA imekubali kuwa msuluhishi wa mgogoro wa kisiasa ndani ya chama tawala cha Sudan Kusini cha Sudanese People’s Liberation Movement (SPLM) ulioibuka na kusababisha kuzuka kwa vita ya wenyewe kwa wenyewe nchini humo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani