Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sumaye ageuziwa kibao

WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amesutwa akitakiwa kuacha kujifanya mpinga rushwa ya uchaguzi wakati ndiye muasisi wake wakati akiwa madarakani. Hatua hiyo inakuja siku moja baada ya Sumaye kudai kuwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Amani ageuziwa kibao Bukoba

BAADHI ya madiwani na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, wamelaani kitendo cha aliyekuwa Meya wa manispaa hiyo, Anatory Amani cha kuweka pingamizi mahakamani ili...

 

10 years ago

Habarileo

Msuva matumaini kibao

MFUNGAJI bora wa msimu uliopita wa ligi kuu bara, Simon Msuva amesema kuanzia benchi katika mechi tatu zilizopita hakumtii hofu ya kupoteza nafasi yake ya kuitumikia Yanga.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Bunge lageuziwa kibao

WAKATI wabunge wakiituhumu Mahakana Kuu ya Tanzania kwamba iliandika barua kwa Spika wa Bunge, kutaka kuzuia ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kuhusu kashfa ya...

 

11 years ago

GPL

PIKIPIKI KIBAO TABATA

 Kamera ya GPL, imenasa Pikipiki zikiwa zimepakiwa eneo la Tabata Liwiti.  (Na Gabriel Ng’osha/GPL)  

 

10 years ago

Mwananchi

Kasoro kibao upigaji kura

Watu wasiojulikana wameteketeza kwa moto vifaa vya kupigia kura wilayani Sumbawanga, huku wasimamizi wasaidizi watatu wa uchaguzi katika Jimbo la Vunjo wakipigwa na kujeruhiwa kwa madai ya kusambaza kura zisizo halali.

 

11 years ago

GPL

MTITU AVAMIA KIBAO KATA

Stori: Hamida Hassan MUIGIZAJI na Mkurugenzi wa Kampuni ya Five Effect, William Mtitu amewashangaza watu baada ya kuibuka katika sherehe ya wanawake maarufu kama kibao kata cha Vanita Omary. Muigizaji na Mkurugenzi wa Kampuni ya Five Effect, William Mtitu.
Ishu hiyo ilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita katika Ukumbi wa PG, Kinondoni jijini Dar ambapo mke wa staa huyo alikuwa miongoni mwa waalikwa lakini cha kushangaza Mtitu...

 

10 years ago

Habarileo

Magongo matumaini kibao Afrika

TIMU ya Taifa ya wanawake na wanaume ya mpira wa magongo zinatarajiwa kuondoka kesho kuelekea nchini Afrika Kusini kwa ajili ya michuano ya kuwania kufuzu kucheza Olimpiki mwaka 2016, Brazil.

 

9 years ago

Mtanzania

Stars matumaini kibao Algeria

Taifa-Stars-NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

KIKOSI cha timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kimeondoka nchini jana alfajiri kuelekea jijini Algiers huku kikiwa na matumaini ya kufanya vizuri na kuwatoa wapinzani wao Algeria ‘The Desert Foxes’ ugenini.

Stars iliyolazimishwa sare ya mabao 2-2 nyumbani, itarudiana na Algeria kwenye Uwanja wa Stade Mustapha Tchaker jijini Algiers kesho katika mchezo wa raundi ya pili kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi.

Kocha Mkuu wa Stars, Charles...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Stars yarejea, matumaini kibao

MSAFARA wa timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars, ulirejea juzi jioni ukitokea kupiga kambi nchini Botswana huku Kocha Mart Nooij akiwa na matumaini makubwa ya kuifunga Msumbiji katika mechi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani