Super Pride
![](http://4.bp.blogspot.com/-ee0f6et2eh0/VYd-V-uic7I/AAAAAAAHiXs/nv2Du3xcYIQ/s72-c/C27B6617.jpg)
Sehemu ya kundi kubwa la familia ya simba linaloishi pamoja maarufu kama "Super Pride" likiota jua katikati ya Mbuga ya wanyama ya Serengeti mkoani Mara. Kundi hili, ambalo aghalabu huwa na wanafamilia wapatao 21, huishi pamoja na kutumia muda mwingi kuwinda na kulinda kinda wao ambao huwa katika hatari ya kuliwa na wanyama wadokozi kama vile fisi, na wakati mwingine madume ya Simba wanaotaka kuingia kundini kwa nguvu. Mara nyingi mmoja wa wanafamilia wa kundi hili hufungwa redio shingoni...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
TheCitizen17 Feb
Push for cultural pride
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Fo9uMAgm9cM/VWDL8E-3U3I/AAAAAAAAIrU/oKhnw5TSv-U/s72-c/Studio%2BBetlsville.jpg)
Reggae Time ya Pride Fm
![](http://4.bp.blogspot.com/-Fo9uMAgm9cM/VWDL8E-3U3I/AAAAAAAAIrU/oKhnw5TSv-U/s640/Studio%2BBetlsville.jpg)
11 years ago
TheCitizen02 Jul
Swallow your pride and give us a new Katiba
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-Fo9uMAgm9cM/VWDL8E-3U3I/AAAAAAAAIrU/oKhnw5TSv-U/s72-c/Studio%2BBetlsville.jpg)
Reggae Time ya Pride Fm..........May 23 2015
![](http://4.bp.blogspot.com/-Fo9uMAgm9cM/VWDL8E-3U3I/AAAAAAAAIrU/oKhnw5TSv-U/s640/Studio%2BBetlsville.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-Cn9522kweeg/VVfGVmrUoJI/AAAAAAAAIok/6rrjy6saFns/s72-c/Studio%2Bndogo.jpg)
Reggae Time ya Pride FM.........May 16 2015
![](http://1.bp.blogspot.com/-Cn9522kweeg/VVfGVmrUoJI/AAAAAAAAIok/6rrjy6saFns/s640/Studio%2Bndogo.jpg)
Husikika kila Jumamosi kuanzia saa tisa kamili alasiri kwa saa za Afrika Mashariki
Radio hii yasikika duniani kote kupitia tovuti www.878pridefm.com na kwa walio Marekani na Canada wanaweza kuisikiliza kwa kupiga namba
![](resource://skype_ff_extension-at-jetpack/skype_ff_extension/data/call_skype_logo.png)
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/77321000/jpg/_77321152_77321145.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-v9N9woUAMzw/VZgSV5zSh-I/AAAAAAAAI30/qmIs0ZagjaA/s72-c/Studio%2Bndogo.jpg)
Reggae Time ya Pride FM...... July 4 2015
![](http://3.bp.blogspot.com/-v9N9woUAMzw/VZgSV5zSh-I/AAAAAAAAI30/qmIs0ZagjaA/s640/Studio%2Bndogo.jpg)
Husikika kila Jumamosi kuanzia saa tisa kamili alasiri kwa saa za Afrika Mashariki
Radio hii yasikika duniani kote kupitia tovuti www.878pridefm.com na kwa walio Marekani na Canada wanaweza kuisikiliza kwa kupiga namba 832 280 0658
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-2geVZO42mms/VeswSbozRQI/AAAAAAAAJdA/tt3oj5p97Fs/s72-c/Justin%2BKalikawe.jpg)
Reggae Time ya Pride FM......Justin Kalikawe
![](http://2.bp.blogspot.com/-2geVZO42mms/VeswSbozRQI/AAAAAAAAJdA/tt3oj5p97Fs/s640/Justin%2BKalikawe.jpg)
Kwangu ni kumbukumbu “mbichi” ya kuondoka kwake, kwa kuwa alifariki tukiwa kwenye mkakati wa kufufua hamasa na umuhimu wa muziki wa reggae nchini.
Nakumbuka ilikuwa ni mwaka 2003. Mwaka ambao ulikuwa na mambo mengi saana kwangu. Ndio mwaka ambao nikiwa na Dj Fax (wakati huo sote tukiwa 100.5 Times Fm) tulipanga mikakati ya kuwa na kipindi bora zaidi cha Reggae jijini Dar...
10 years ago
BBC09 Aug
Uganda activists celebrate gay pride