Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SWAHILI FEST COMMUNITY PICNIC YAFANA DMV

Mshereheshaji Tuma akielekeza jambo kwenye tamasha la Swhili Fest lililofanyika siku ya Jumapili Septemba 20, 2015 Bladensburg, Water Front iliyopo jimbo la Maryland nchini Marekani. Picha na Vijimambo Blog/ Kwanza Production.Patrick Kajale mmoja ya waratibu wa swahili fest akipata picha ya pamoja na mmoja ya watoto walioshinda kucheza wimbo wa Bongo Flava. Waratibu wengine ni Amri Maliyatabu, Seif Ndossa na Frank Kajale.Patrick Kajale mmoja ya waratibu wa swahili fest akipata picha ya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

9 years ago

Vijimambo

Swahili Fest Community Picnic Mama wa mitindo Asya Idarous kufanya vitu vyake

Mama Asya Idarous Khamsini kuonyesha vazi la khanga

 

9 years ago

Dewji Blog

Swahili Fest Community Picnic Mama wa mitindo Asya Idarous kufanya vitu vyake leo

*

Mwanamitindo na mbunifu Mkongwe kutoka Tanzania, Mama wa Mitindo Asya Idarous Khamsin   leo  Septemba 20, anataraji kuonyesha mavazi ya ubunifu katika Swahili Fest Community Picnic

Swahili Fest Community Picnic.English-page-0

 

 

 

10 years ago

Michuzi

9 years ago

Vijimambo

DMV ALL STARS WAPENDEZESHA SWAHILI FEST

 Kundi linalotengeneza DMV All Stars wakishambulia jukwaa katika tamasha la Swahili Fest lililofanyika siku ya Kumapili Septemba 20, 2015 Bladensburg, Maryland. Picha na Vijimambo Blog, Kwanza Production. DMV All Stars wakilishambulia Jukwaa
  DMV All Stars wakilishambulia Jukwaa  DMV All Stars wakilishambulia Jukwaa Prince Herry akiimba singo yake mpya aliyemshirikisha msani wa kizazi kipya wa Bongo Flava Recho Bofya soma zaidi kuisikiliza na kuangalia Video

 

10 years ago

Vijimambo

TAMASHA LA KISWAHILI (SWAHILI FEST) LILILOFANYIKA NCHINI MAREKANI NDANI YA WASHINGTON DC LAFUNIKA !

Kwa mara ya Kwanza kabisa nchini marekani limefanyika Tamasha la Kiswahili katika jiji la Washington,likijumuisha nchi zote za Afrika Mashariki na kati zinazozungumza lugha ya kiswahili.Tamasha hili liliandaliwa ili kuweza kutangaza tamaduni za Afrika Mashariki ikiwa ni pamoja na Chakula,Mavazi,Ngoma za Asili,Miziki ya Kizazi Kipya,na mambo mbali mbali ya kiasilia.Waandaaji wa Tamasha la Kiswahili Washington DC Ndugu Patrick Kajale na Dada Finiana wakijadili jambo na ndugu Safari ambaye...

 

9 years ago

Vijimambo

MISSY TEMEKE AKONGA NYOYO ZA MASHABIKI SWAHILI FEST BLADENSBURG WATER FRONT, MARYLAND

Missy T wa Kwetu fashion akinesanesa kwenye Jukwaa siku ya Jumapili Septemba 20, 2015 siku ya kuadhimisha Swahili Fest iliyoshirikisha nchi zote Afrika Mashariki chini ya wanaandaaji Patrick, Seif Ndossa, Amri Mariatabu na Frank Kajale.Missy Temeke na Patrick Kajale (kati) wakiwa katika picha ya pamoja na walimbwende waliovaa nguo zilizobuniwa na Kwetu Fashion.




 

10 years ago

GPL

TAMASHA LA KISWAHILI (SWAHILI FEST) LILILOFANYIKA NCHINI MAREKANI NDANI YA WASHINGTON DC LAFUNIKA !‏

Waandaaji wa Tamasha la Kiswahili Washington DC Ndugu Patrick Kajale na Dada Finiana wakijadili jambo na ndugu Safari ambaye ndiye Mtunzi wa kile kitabu Nambari moja Amazon cha Nyayo za Obama. Ndugu Safari Akionyesha Kitabu cha Obama…

 

9 years ago

Vijimambo

ASYA IDAROUS ANOGESHA NA KUKONGA NYOYO ZA MASHABIKI SWAHILI FEST BLADENSBURG WATER FRONT, MARYLAND

Gwiji la mitindo Asya Idarous Khamsini akipita mbele ya mashabiki wake kushukuru. Picha na Vijimambo Blog/Kwanza ProductionGwiji la mitindo Asya Idarous Khamsini (kushoto) akiwasalimia mashabiki wa mitindo kwenye Swahili Fest iliyofanyika siku ya Jumapili Septemba 20, 2015 Bladensburg, Maryland na kuhudhuriwa na nchi tano za Afrika Mashariki.
Walimbwende waliovaa nguo za za gwiji la mitindo Asya Idarous Khamsini wakiwa katika picha ya pamoja.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani