TAMASHA LA KISWAHILI (SWAHILI FEST) LILILOFANYIKA NCHINI MAREKANI NDANI YA WASHINGTON DC LAFUNIKA !
Waandaaji wa Tamasha la Kiswahili Washington DC Ndugu Patrick Kajale na Dada Finiana wakijadili jambo na ndugu Safari ambaye ndiye Mtunzi wa kile kitabu Nambari moja Amazon cha Nyayo za Obama. Ndugu Safari Akionyesha Kitabu cha Obama…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboTAMASHA LA KISWAHILI (SWAHILI FEST) LILILOFANYIKA NCHINI MAREKANI NDANI YA WASHINGTON DC LAFUNIKA !
Kwa mara ya Kwanza kabisa nchini marekani limefanyika Tamasha la Kiswahili katika jiji la Washington,likijumuisha nchi zote za Afrika Mashariki na kati zinazozungumza lugha ya kiswahili.Tamasha hili liliandaliwa ili kuweza kutangaza tamaduni za Afrika Mashariki ikiwa ni pamoja na Chakula,Mavazi,Ngoma za Asili,Miziki ya Kizazi Kipya,na mambo mbali mbali ya kiasilia.Waandaaji wa Tamasha la Kiswahili Washington DC Ndugu Patrick Kajale na Dada Finiana wakijadili jambo na ndugu Safari ambaye...
10 years ago
GPLTAMASHA LA KISWAHILI ILILOFANYIKA NCHINI MAREKANI NDANI YA WASHINGTON DC LAFUNIKA
Waandaaji wa Tamasha la Kiswahili Washington DC Ndugu Patrick Kajale na Dada Finiana wakijadili jambo na ndugu Safari ambaye ndiye Mtunzi wa kile kitabu Nambari moja Amazon cha Nyayo za Obama.…
11 years ago
GPLMKUU WA MABALOZI NCHINI MAREKANI ATEMBELEA UBALOZI WA AFRICAN UNION, WASHINGTON DC
Balozi wa kudumu wa African Union nchini Marekani Mhe. Amina Salum Ali katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mabalozi wote wanaowakilisha nchi zao nchini Marekani Mhe. Roble Olhaye alipotembelea ofisi za Ubalozi wa AU zilizopo Georgetown, Washington, DC leo Ijumaa Feb 14, 2014.
Mkuu wa Mabalozi (Dean) nchiniMarekani Mhe. Roble Olhaye akitia saini kitabu cha wageni na baadae kufanya mazungumuzo na Balozi wa...
10 years ago
GPLMAWAZIRI WA NCHI TANO AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON,DC NCHINI MAREKANI
Waziri wa Afrika Mashariki Mhe. Harrison Mwakyembe ambaye alikua mwenyekiti wa mkutano wa kujiandaa kutiliana saini makubaliano ya biashara na uwekezaji wa nchi za Afrika Mashariki na Marekani. Utiliano saini huo utafanyika siku ya Alhamisi Februari 26, 2015 katika Ofisi za Wizara ya Biashara Marekani, kulia ni Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Richard Sezibera kutoka Burundi.… ...
10 years ago
MichuziMWANAMUZIKI RAPPA MAHIRI KUTOKA NCHINI MAREKANI T.I KUSAMBAZA UPENDO NDANI YA TAMASHA LA FIESTA OKTOBA 18,2014 JIJINI DAR
Mmoja wa Marappa mahiri kutoka nchini Marekani atambulikae kwa jina la Clifford Joseph Harris,'T.I' ni mmoja wa wanamuziki watakaoangusha bonge la shoo la kusambaza upendo kwa wakazi wa jiji la Dar na vitongoji vyake,katika onesho la Fiesta 2014 linalotarajiwa kufanyika ndani ya Viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam Oktoba...
10 years ago
VijimamboMkutano Mkuu wa CHAUKIDU na Tamasha la ukuzaji Kiswahili kufanyika Washington DC
Aprili 23 mwaka huu, Chama cha Ukuzaji Kiswahili Duniani (chaukidu) kinategemea kufanya mkutano mkuu wake, pamoja na tamasha la ukuzaji wa lugha ya Kiswahili.
Hayo yatafanyika hapa Washington DC.
Septemba mwaka jana nilipata fursa ya kuhudhuria mkutano wa awali uliojadili mikakati ya mkutano na tamasha lijalo.
Baada ya hapo nilipata fursa kuzungumza na viongozi wa CHAUKIDU
Dr Leornard Muaka. Yeye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Chaudiku. Na ni mwalimu wa lugha katika Chuo Kikuu cha Wiston Salem jimbo...
Hayo yatafanyika hapa Washington DC.
Septemba mwaka jana nilipata fursa ya kuhudhuria mkutano wa awali uliojadili mikakati ya mkutano na tamasha lijalo.
Baada ya hapo nilipata fursa kuzungumza na viongozi wa CHAUKIDU
Dr Leornard Muaka. Yeye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Chaudiku. Na ni mwalimu wa lugha katika Chuo Kikuu cha Wiston Salem jimbo...
9 years ago
Vijimambo11 years ago
GPLMARK CHILDRESS BALOZI MPYA WA MAREKANI NCHINI TANZANIA, ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI
Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzania Mhe. Mark Childress akikaribishwa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na Afisa Ubalozi Suleiman Saleh siku ya Alhamisi April 24, 2014 alipotembelea Ubalozi huo na kujitambulisha kwa Mhe. Balozi Liberata Mulamula (hayupo pichani) Balozi Liberata Mulamula akimtambulisha Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzania Mhe. Mark Childress kwa Maafisa na wafanyakazi wa Ubalozi… ...
9 years ago
VijimamboDMV ALL STARS WAPENDEZESHA SWAHILI FEST
Kundi linalotengeneza DMV All Stars wakishambulia jukwaa katika tamasha la Swahili Fest lililofanyika siku ya Kumapili Septemba 20, 2015 Bladensburg, Maryland. Picha na Vijimambo Blog, Kwanza Production. DMV All Stars wakilishambulia Jukwaa
DMV All Stars wakilishambulia Jukwaa DMV All Stars wakilishambulia Jukwaa Prince Herry akiimba singo yake mpya aliyemshirikisha msani wa kizazi kipya wa Bongo Flava Recho Bofya soma zaidi kuisikiliza na kuangalia Video
DMV All Stars wakilishambulia Jukwaa DMV All Stars wakilishambulia Jukwaa Prince Herry akiimba singo yake mpya aliyemshirikisha msani wa kizazi kipya wa Bongo Flava Recho Bofya soma zaidi kuisikiliza na kuangalia Video
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania