TAMASHA LA KISWAHILI ILILOFANYIKA NCHINI MAREKANI NDANI YA WASHINGTON DC LAFUNIKA
Waandaaji wa Tamasha la Kiswahili Washington DC Ndugu Patrick Kajale na Dada Finiana wakijadili jambo na ndugu Safari ambaye ndiye Mtunzi wa kile kitabu Nambari moja Amazon cha Nyayo za Obama.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboTAMASHA LA KISWAHILI (SWAHILI FEST) LILILOFANYIKA NCHINI MAREKANI NDANI YA WASHINGTON DC LAFUNIKA !
Kwa mara ya Kwanza kabisa nchini marekani limefanyika Tamasha la Kiswahili katika jiji la Washington,likijumuisha nchi zote za Afrika Mashariki na kati zinazozungumza lugha ya kiswahili.Tamasha hili liliandaliwa ili kuweza kutangaza tamaduni za Afrika Mashariki ikiwa ni pamoja na Chakula,Mavazi,Ngoma za Asili,Miziki ya Kizazi Kipya,na mambo mbali mbali ya kiasilia.
Waandaaji wa Tamasha la Kiswahili Washington DC Ndugu Patrick Kajale na Dada Finiana wakijadili jambo na ndugu Safari ambaye...
10 years ago
GPLTAMASHA LA KISWAHILI (SWAHILI FEST) LILILOFANYIKA NCHINI MAREKANI NDANI YA WASHINGTON DC LAFUNIKA !
Waandaaji wa Tamasha la Kiswahili Washington DC Ndugu Patrick Kajale na Dada Finiana wakijadili jambo na ndugu Safari ambaye ndiye Mtunzi wa kile kitabu Nambari moja Amazon cha Nyayo za Obama. Ndugu Safari Akionyesha Kitabu cha Obama…
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-opstdXccnrQ/VCHMAMx7VWI/AAAAAAACrhU/YhzBw04IyUo/s72-c/JTM-027196.jpg)
MWANAMUZIKI RAPPA MAHIRI KUTOKA NCHINI MAREKANI T.I KUSAMBAZA UPENDO NDANI YA TAMASHA LA FIESTA OKTOBA 18,2014 JIJINI DAR
![](http://api.ning.com/files/n6JmThHrscYFP3bUuBsW7HGLI5xeOwij-*jv5X4IjRp7zZvtoAkzQJ-Ynkmdc4poag8l59n-VRFDQPL463PFmo-IRl78CnFH/tipress2013650c.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-NwD6p9-fkyM/VMg3oD1NbEI/AAAAAAAAH1A/RCdzK9vDd3A/s72-c/logochaukidu1.png)
Mkutano Mkuu wa CHAUKIDU na Tamasha la ukuzaji Kiswahili kufanyika Washington DC
![](http://2.bp.blogspot.com/-NwD6p9-fkyM/VMg3oD1NbEI/AAAAAAAAH1A/RCdzK9vDd3A/s1600/logochaukidu1.png)
Hayo yatafanyika hapa Washington DC.
Septemba mwaka jana nilipata fursa ya kuhudhuria mkutano wa awali uliojadili mikakati ya mkutano na tamasha lijalo.
Baada ya hapo nilipata fursa kuzungumza na viongozi wa CHAUKIDU
Dr Leornard Muaka. Yeye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Chaudiku. Na ni mwalimu wa lugha katika Chuo Kikuu cha Wiston Salem jimbo...
10 years ago
Vijimambo13 Mar
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-enZZJbTkMIc/VdFjrfF3jsI/AAAAAAABkks/EigwT4_kqs0/s72-c/IMG_9637.jpg)
TAMASHA LA 'DEMOCRACY IN DAR' LAFUNIKA JIJI, WAKAZI WAHAMASIKA KUJITOKEZA KUPIGA KURA OKTOBA 25, 2015
![](http://4.bp.blogspot.com/-enZZJbTkMIc/VdFjrfF3jsI/AAAAAAABkks/EigwT4_kqs0/s640/IMG_9637.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-OEhMimjmSn0/VdFjqvuiffI/AAAAAAABkkk/E0r0RnjYS7k/s640/IMG_9590.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-a5Bq4DTVNlM/VdF5MQOr79I/AAAAAAABkrg/1rJHk6H5pkM/s640/thumb_IMG_2255_1024.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-1awuJzJKrBc/VdFjm_IVZ4I/AAAAAAABkkU/odQn6zdQjz4/s640/IMG_9613.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-VEj0Gva7Fx4/VdFjsVqX0XI/AAAAAAABkk0/1IyZCbGdxbc/s640/IMG_9620.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://lh4.ggpht.com/-mdOXWX68UcE/VBfuSOwQChI/AAAAAAAAQnw/PuQ05DW8Lc8/s72-c/swahiliPicnic-1.png)
MAMBO YOTE JUMAPILI HII TAMASHA LA KISWAHILI JUMAPILI HII-(WASHINGTON DMV) -MABALOZI WA NA NCHI ZOTE ZA MASHARIKI WATHIBITISHA KUWEPO.
![](http://lh4.ggpht.com/-mdOXWX68UcE/VBfuSOwQChI/AAAAAAAAQnw/PuQ05DW8Lc8/s640/swahiliPicnic-1.png)
11 years ago
MichuziHARVARD CLUB OF WASHINGTON WATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI
10 years ago
VijimamboBALOZI MPYA WA MALAWI NCHINI MAREKANI ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON DC.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania