Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAA yataka wanafunzi wachangamkie masomo ya anga

Mgeni rasmi, Mwanasheria Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Wakili Msomi, Ramadhan Maleta (katikati mwenye tai) akiangalia kazi za wanafunziza darasani walizozionesha kwake na kwa wazazi wakati wa mahafali ya kidato cha nne ya shule ya sekondari ya Lilian Kibo, Goba Matosa, Dar es Salaam juzi. Wakili Maleta akiangalia chura anavyopasuliwa wakati wa somo la bailojia wakati akioneshwa na mwanafunzi wa shule ya Lilian Kibo.Wanafunzi wa shule ya Lilian Kibo wakitumbuiza kwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

HAFLA YA JUMUIYA YA WANAFUNZI WA TANZANIA WUHAN-CHINA (WUTASA) KUWAKARIBISHA WANAFUNZI WAPYA MWAKA WA MASOMO 2015/16

1Picha ya pamoja ya wanafunzi wapya na wazamani. Walioketi mbele kutoka kushoto ni viongozi wa Wutasa, Gelas Rubakula (Naibu Katibu), Ally Salum (Katibu), Rajab Jafar (Makamu Mwenyekiti), Abel Masanja (Mwenyekiti) na Thomas Mtaki (Mwenyekiti Mstaafu).2Picha ya pamoja ya wanafunzi wapya. Walioketi mbele kutoka kushoto ni viongozi wa Wutasa, Gelas Rubakula (Naibu Katibu), Ally Salum (Katibu), Rajab Jafar (Makamu Mwenyekiti), Abel Masanja (Mwenyekiti) na Thomas Mtaki (Mwenyekiti Mstaafu).3

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanafunzi wakatisha masomo

SHULE ya sekondari Hunyari iliyoko katika Wilaya ya Bunda mkoani Mara, inakabiliwa na changamoto ya utoro mkubwa wa wanafunzi kutokana na baadhi yao kukatisha masomo kwa kuo, kuolewa na wengine...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanafunzi wahimizwa masomo ya sayansi

WANAFUNZI wa shule mbalimbali nchini wametakiwa kujifunza masomo ya sayansi kutokana na umuhimu wake katika ugunduzi wa vitu ili kusaidia taifa kimaendeleo. Imeelezwa kuwa idadi kubwa ya wanafunzi na walimu...

 

9 years ago

Mtanzania

Maabara zawavutia wanafunzi masomo

NA SAMWEL MWANGA

WANAFUNZI wa  Shule ya Sekondari Mwamishali  wilayani Meatu  wameanza kusoma masomo ya sayansi kwa vitendo huku wakipongeza uamuzi wa Rais Kikwete wa kuagiza ujenzi wa maabara kwa shule zote za kata.

Pongezi hiyo zilitolewa jana   ba  Mariamu Mwirabi,  mbele ya Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru, Juma Khatib Chum  alipofungua
vyumba vitatu vya maabara katika shule hiyo.

Mwirabi alisema kabla ya agizo hilo walikuwa wakisoma masomo ya sayansi kwa kutumia picha na michoro hali...

 

5 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WAWASILI CHUONI KUENDELEA NA MASOMO


Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano Chuo kikuu Mzumbe Bi. Rose Joseph akizungumza na Waandishi wa Habari waliofika Chuoni hapo kuona maandalizi ya mapokezi ya Wanafunzi.
Moja ya matanki yaliyosimikwa katika mazingira ya Chuo kikuu Mzumbe kwa ajili ya Wanafunzi kunawa mikono kabla na baada ya kuingia darasani.
Mkuu wa kituo cha Afya Chuo kikuu Mzumbe Dkt.Paschal Songoro akizungumza na Waandishi wa Habari na kuwaonesha maandalizi ya mazingira ya kuwapokea Wahisiwa wa ugonjwa endapo watatokea

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mvua zawakosesha masomo wanafunzi 450

ZAIDI ya wanafunzi 450 wa shule nne za msingi katika Kata ya Bumera, wilayani Tarime, watakosa masomo kwa muda usiojulikana kutokana na vyumba vya madarasa wanavyovitumia pamoja na nyumba za...

 

10 years ago

Habarileo

Mbinu mpya masomo ya sayansi kuwavuta wanafunzi

Dk Shukuru KawambwaSERIKALI imesema inatarajia kuwepo mabadiliko makubwa katika ufundishaji wa masomo ya sayansi na wanafunzi kupenda somo hilo baada ya walimu 2,000 wa sayansi kupatiwa mafunzo ya mbinu za kufundisha somo hilo.

 

10 years ago

GPL

WANAFUNZI 20 WAPATIWA UDHAMINI WA MASOMO YA ELIMU YA JUU

Kushoto ni Padri Kassase akiwa na mkuu  wa chuo cha Mlimani School of Professional Students, Hassani Ngoma katika makabidhiano ya hati ya udhamini wa  wanafunzi .
Viongozi na wawakilishi wa dini ya Kikristo na Kislamu wakiwa katika majadiliano kabla ya mkutano kuanza.…

 

11 years ago

Mwananchi

Wanafunzi Ileje kukosa masomo kwa siku 21

Wanafunzi wa Kidato cha Tano na Sita katika Shule ya Sekondari Ileje, iliyopo Wilaya ya Ileje Mkoa wa Mbeya, wamelazimika kupewa likizo ya lazima kwa muda wa siku 21, baada ya kuonekana kuhatarisha usalama na uvunjifu wa amani shuleni hapo kufuatia fujo zilizosababishwa na baadhi ya wanafunzi hao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani