Taarifa kamili ya kuahirishwa kwa uchaguzi Zanzibar iko hapa
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha.
Na Mwandishi wetu, Zanzibar
TUME ya uchaguzi Zanzibar (ZEC) , imefuta na kuhairisha matokeo yote ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu kutokana na kujitokeza kwa kasoro mbali mbali za ukiukaji wa sheria na kanuni za uchaguzi Zanzibar.
Akizungumza na waandishi wa habari Mwenyekiti wa tume hiyo, Jecha Salim Jecha alisema kuwa kutokana na kasoro mbali mbali zilizojitokeza katika uchaguzi huu na kusababisha vikwazo mbali mbali...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog14 Feb
Matokeo ya kidato cha nne yatangazwa, Sekondari ya Kaizirege yaongoza..List kamili iko hapa
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani nchini,Dk. Charles Msonde.
Ufaulu Kidato cha Nne 2014 wapanda kwa asilimia 10
Jumla ya Watahiniwa 196,805 sawa na 68.33% ya watahiniwa wote waliofanya mtihani kidato cha IV mwaka 2014 wamefaulu ikiwa ni ongezeko la 10.08% kulinganisha na mwaka 2013 ambapo wanafunzi 235,227 sawa na 58.25 walifualu.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa Dkt Charles Msonde
Jumla ya Watahiniwa 196,805 sawa na 68.33% ya watahiniwa wote waliofanya mtihani kidato cha...
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-rtDyklf-03c/VdDMNEausjI/AAAAAAAABXQ/DhM3oMcakTs/s72-c/DAR%2BWAAHIRISHA%2BUHAKIKI.jpg)
9 years ago
CHADEMA BlogTAARIFA YA KUAHIRISHWA KWA MKUTANO WA CHADEMA
9 years ago
Dewji Blog31 Oct
Taarifa ya ZADIA kuhusu kufutwa kwa matokeo ya Uchaguzi Zanzibar
![](http://4.bp.blogspot.com/-SIQ_BbYAmzM/VXfGH3gBtWI/AAAAAAAAkXY/gp8vIk1mf84/s400/zadia.png)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-2UqxRLJbjRQ/XuPNLqMOWII/AAAAAAALto8/NI3bvMiYS58G8AkzuIzFy1cqjfcDlF7TACLcBGAsYHQ/s72-c/CCM-Logo.jpg)
RATIBA KAMILI YA MCHAKATO WA KUWAPATA WAGOMBEA WA CCM WA NAFASI YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA RAIS WA ZANZIBAR KWA AJILI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2020
![](https://1.bp.blogspot.com/-2UqxRLJbjRQ/XuPNLqMOWII/AAAAAAALto8/NI3bvMiYS58G8AkzuIzFy1cqjfcDlF7TACLcBGAsYHQ/s640/CCM-Logo.jpg)
1.0. URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIANATAREHESHUGHULI/MAELEZO115 – 30/06/2020Kuchukua na kurejesha fomu. Mwisho wakurudisha fomu ni tarehe 30/6/2020 Saa 10:00 jioni.215 – 30/06/2020Kutafuta wadhamini Mikoani.VIKAO VYA UCHUJAJI306 – 07/07/2020Kikao cha Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa.408/07/2020Kikao cha Kamati ya Usalama na Maadili Taifa.509/07/2020Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa: Kufikiria na kutoa Mapendekezo yake kwa Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa...
9 years ago
MillardAyo29 Dec
Burudani inahamia Zanzibar, Kombe la Mapinduzi 2016 Yanga, Azam FC na Simba ndani, ratiba kamili ipo hapa …
Ni kawaida kila mwaka kufanyika kwa mashindano ya Kombe la Mapinduzi visiwani Zanzibar, kwa mwaka 2016 michuano hiyo inafanyika kama kawaida. Kombe la Mapinduzi kwa sasa Bingwa mtetezi wa Kombe hilo ni klabu ya Simba. Jumapili ya January 3 2016. Hii ndio ratiba kamili mtu wangu ya michuano ya Kombe la Mapinduzi. CHANZO CHA HII […]
The post Burudani inahamia Zanzibar, Kombe la Mapinduzi 2016 Yanga, Azam FC na Simba ndani, ratiba kamili ipo hapa … appeared first on TZA_MillardAyo.