Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAARIFA YA KUAHIRISHWA KWA MKUTANO WA CHADEMA

Taarifa inatolewa kwa wapenzi, mashabiki, wafuasi na wanachama wa CHADEMA, wanaUKAWA na umma wa Watanzania wote wapenda mabadiliko kwa ujumla kuhusu mkutano mkubwa wa hadhara wa kesho katika Viwanja vya Jangwani, jijini Dar Es Salaam ambao umeshatangazwa kwa njia mbalimbali za upashanaji habari, umeahirishwa hadi hapo maelekezo na utaratibu mwingine utakapotolewa baadae.Ni vyema kuwataarifu

CHADEMA Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Taarifa kamili ya kuahirishwa kwa uchaguzi Zanzibar iko hapa

IMG_4387

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha.

Na Mwandishi wetu, Zanzibar

TUME ya uchaguzi Zanzibar (ZEC) , imefuta na kuhairisha matokeo yote ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu kutokana na kujitokeza kwa kasoro mbali mbali za ukiukaji wa sheria na kanuni za uchaguzi Zanzibar.

Akizungumza na waandishi wa habari Mwenyekiti wa tume hiyo, Jecha Salim Jecha alisema kuwa kutokana na kasoro mbali mbali zilizojitokeza katika uchaguzi huu na kusababisha vikwazo mbali mbali...

 

10 years ago

GPL

TAMKO LA CHADEMA KUHUSU KUAHIRISHWA KWA MUDA WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Mabere Marando akiongea na wanahabari. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
TAMKO KUHUSU KUAHIRISHWA KWA MUDA WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KWA KUTUMIA TEKNOLOJIA YA “BIOMETRIC VOTERS REGISTRATION” (BVR) KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM NA MKOA WA PWANI Kufuatia Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuutangazia umma kuwa zoezi la uboreshaji wa Daftari la kudumu la...

 

10 years ago

Vijimambo

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA KUHUSU MKUTANO WA CHADEMA

Mnamo tarehe 10/08/2015 Ofisi ya Mkuu wa polisi wilaya ya Mbeya ilipokea barua toka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inayohusu taarifa ya mkutano wa hadhara utakaofanyika tarehe 14/08/2015 katika viwanja vya Ruanda Nzovwe. Lengo la mkutano huo ni mgombea wa raisi kuomba wadhamini.

Leo tarehe 13/08/2015 jeshi la polisi mkoa wa Mbeya lilikutana na Uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo akiwemo mbunge wa Mbeya Mjini na baadhi ya Madiwani katika eneo la Usalama wa Chama hicho...

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA KUAHIRISHWA HUDUMA YA TRENI YA JIJI KESHO JUMAMOSI JULAI 19, 2014!

UONGOZI WA KAMPUNI YA RELI TANZANIA -TRL  UNAWATAARIFU WAKAZI WA JIJI NA WANACHI KWA JUMLA KUSITISHWA KWA HUDUMA YA TRENI YA JIJI HAPO KESHO JUMAMOSI JULAI 19, 2014, ILI KUPISHA UKARABATI WA MIUNDO MBINU YA RELI KATI YA DAR STESHENI HADI UBUNGO MAZIWA ITAKAYOFANYIKA KWA SIKU ZA JUMAMOSI NA JUMAPILI.
HATA HIVYO HUDUMA HIYO ITAREJEA TENA KAMA KAWAIDA KUANZIA JUMATATU JULAI 21, 2014 . ATAKAYESIKIA AU KUSOMA TAARIFA HII AMUARIFU NA MWENZIYE.
UONGOZI WA TRL UNASIKITIKA KWA USUMBUFU...

 

11 years ago

GPL

TAARIFA KWA UMMA KUTOKA CHADEMA

KUHUSU TUHUMA DHIDI YA M/KITI WA TAIFA, FREEMAN MBOWE Kama mojawapo ya mikakati ya baadhi ya watu wanaotaka kuhamisha mjadala wa makosa yanayowaandama ya utovu wa maadili na usaliti dhidi ya chama, hivi karibuni, Mwenyekiti wa Chama Taifa, Freeman Mbowe amezushiwa tuhuma zisizokuwa na ukweli wowote zikilenga kumchafua kwa nafasi yake ya uongozi na kuipaka matope taasisi anayoiongoza. Tuhuma hizo ni pamoja na;
1. Kwamba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani