Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NSSF: KUAHIRISHWA KWA MKUTANO WA WADAU

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MKUTANO WA NNE WA WADAU WA NSSF WAENDELEA KWA SIKU YA PILI JIJINI ARUSHA LEO

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori akisisitiza jambo wakati wa kujibu baadhi ya maswali ya Wadau wa NSSF wanaohudhulia Mkutano wa nne wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) unaoambatana na Maadhimisho ya Miaka 50 ya NPF-NSSF ulioanza rasmi jana na kuendelea leo kwa siku ya pili,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha. Mwenyekiti wa Kikao cha kwanza siku ya leo,ambaye pia ni Mwenyekiti wa Shirika...

 

11 years ago

Michuzi

MKUTANO WA NNE WA WADAU WA NSSF WAENDELEA KWA SIKU YA TATU JIJINI ARUSHA LEO

 Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali na Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini,Mh. Zitto Kabwe akiwasilisha mada yake iliyohusu Umuhimu wa Mifuko ya Hifadhi za Jamii kwa Sekta zisizo rasmi wakati wa Mkutano wa nne wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) unaoambatana na Maadhimisho ya Miaka 50 ya NPF-NSSF unaoendelea,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.  Bi. Faustina Nti kutoka nchini Ghana akiwasilisha Mada yake yenye kueleza uzoefu wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda afungua mkutano wa tano wa wadau wa NSSF

IMGL7668

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua mkutano wa tano wa wadau wa Mfuko wa Hifadhi za Jamii wa  NSSF kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC), Juni 2, 2015. Wengine kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Felix Tibenda, Mkurugenzi Mkuu wa NSSF ,Dr. Ramadhani Dau na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya NSSF Abubakari Rajab. (Picha na Ofisi ya Wziri Mkuu).

IMGL7676

Baadhi ya washiriki wa mkutano wa tano wa Mfuko wa hifadhi ya jamii, NSSF wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo PInda wakati...

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO WA TANO WA WADAU WA NSSF WAMALIZIKA LEO JIJINI ARUSHA

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mh. Felix Ntibenda akitoa Hotuba yake wakati wa kufunga Mkutano wa tano wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC, jijini Arusha leo.Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Ndg. Aboubakar Rajab akizungumza machache kabla ya kumkaribisha Mgeni Rasmi, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mh. Felix Ntibenda ili aweze kutoa hotuba ya kufunga Mkutano wa tano wa Wadau wa Shirika la...

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO WA TANO WA WADAU WA NSSF WAENDELEA LEO AICC, JIJINI ARUSHA

Mwenyekiti wa Kikao cha kwanza siku ya leo katika Mkutano wa tano wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), ambaye pia ni Mjumbe wa Bodi ya Shirika hilo, Magret Ikongo akiongoza kikao hicho leo, kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.Mkurugenzi wa Mipango,Uwekezaji na Miradi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Yacoub Kidula akiwasilisha mada iliyohusu mambo ya Uwekezaji, kwenye Mkutano wa tano wa Wadau NSSF unaoendelea leo kwa siku ya...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA NNE WA WADAU WA NSSF JIJINI ARUSHA LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuga yake ya Ufunguzi wa Mkutano wa nne wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) unaoambatana na Maadhimisho ya Miaka 50 ya NPF-NSSF ulioanza leo,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.katika hotuba yake,Rais Kikwete ameitaka Mifuko ya Hifadhi za Jamii kuhakikisha inawafikia wananchi wengi ambao bado hajapata ufahamu mzuri wa umuhimu wa kujiwekea akiba. Rais wa Jamhuri ya...

 

9 years ago

Michuzi

NSSF YASHIRIKI KWENYE MKUTANO WA MWAKA WA WADAU WA KOROSHO MKOANI LINDI LEO

SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii NSSF limeshiriki kwenye mkutano wa Wadau wa Korosho unaofanyika kwenye Hoteli ya Peace Beach Mkoani Lindi,mkutano huo utakaofanyika kwa Siku mbili mfululizo utahusisha wadau wa Korosho kutoka Tanzania nzima.
Katika Mkutano huo ambao NSSF imepata nafasi ya kutoa  mada imewahimiza wadau hao waweze kujiunga na NSSF ili waweze kupata mafao bora yatolewayo na mfuko huo, Mafao hayo yakiwemo Matibabu bure, Kuumia Kazi, Uzazi kwa Kina mama , Mikopo kwa wanachama...

 

9 years ago

CHADEMA Blog

TAARIFA YA KUAHIRISHWA KWA MKUTANO WA CHADEMA

Taarifa inatolewa kwa wapenzi, mashabiki, wafuasi na wanachama wa CHADEMA, wanaUKAWA na umma wa Watanzania wote wapenda mabadiliko kwa ujumla kuhusu mkutano mkubwa wa hadhara wa kesho katika Viwanja vya Jangwani, jijini Dar Es Salaam ambao umeshatangazwa kwa njia mbalimbali za upashanaji habari, umeahirishwa hadi hapo maelekezo na utaratibu mwingine utakapotolewa baadae.Ni vyema kuwataarifu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani