TAARIFA MBALIMBALI KUTOKA TFF LEO JULAI 7, 2015
![](http://2.bp.blogspot.com/-yFPmUSbCpFY/VZvANIKQ4TI/AAAAAAAHni0/DXmdmhedMl4/s72-c/images.jpg)
MWESIGWA AFUNGUA SEMINA YA AIRTELKatibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Mwesigwa Selestine leo amefungua semina ya makatibu wakuu wa vyama vya soka vya mikoa nchini (FA's) kuhusu maandalizi ya michuano ya airtel.Katika ufunguzi wa semina hiyo, Mwesigwa amewaomba viongozi hao kuzingatia kanuuni na mahitaji katika michuano ya Airtel inayoshirikisha vijana wenye umri chini ya miaka 17 ambayo inatarajiwa kuanza kutimua vumbi hivi karibuni.Mwesigwa amesema viongozi hao...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-GWkgM2r_Xpc/VYvXo8v7wOI/AAAAAAAHj4I/cYv1L7Dgc3Q/s72-c/download.jpg)
TAARIFA MBALIMBALI KUTOKA TFF LEO
VILABU VYATAKIWA KUWALIPIA KODI WALIMU NA WACHEZAJI
![](http://2.bp.blogspot.com/-GWkgM2r_Xpc/VYvXo8v7wOI/AAAAAAAHj4I/cYv1L7Dgc3Q/s1600/download.jpg)
Kamshina wa TRA ameliagiza Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) kupitia kwa katibu mkuu wake kuwa, vilabu vyote vya mpira wa miguu nchini vinavyoajiri walimu, wachezaji kutoka ndani na nje ya nchi wahakikishe wanaweka...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-MKpvJj3iGnQ/VciOgUnLwXI/AAAAAAAHvs4/EfeRTiDw-ec/s72-c/tff2.jpg)
TAARIFA MBALIMBALI KUTOKA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF) LEO
![](http://3.bp.blogspot.com/-MKpvJj3iGnQ/VciOgUnLwXI/AAAAAAAHvs4/EfeRTiDw-ec/s1600/tff2.jpg)
11 years ago
GPLTAARIFA MBALIMBALI KUTOKA TFF
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-W1_CI6PWjEQ/UzFyZfA1WFI/AAAAAAAFWN8/i0SDP2Q0PPY/s72-c/tff+LOGO.jpg)
TAARIFA MBALIMBALI ZA MICHEZO KUTOKA SHIRIKISHO LA MPIRA TANZANIA (TFF)
![](http://4.bp.blogspot.com/-W1_CI6PWjEQ/UzFyZfA1WFI/AAAAAAAFWN8/i0SDP2Q0PPY/s1600/tff+LOGO.jpg)
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) tumepokea amri ya Mahakama Kuu (Kitengo cha Kazi) kukamata sh. milioni 106 za klabu ya Yanga kutokana na mapato ya mlangoni kwenye mechi zake ili kuwalipa waliokuwa wachezaji wake Stephen Malashi na Wisdom Ndlovu.
Tayari tumeanza utekelezaji wa amri hiyo ambapo katika mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) dhidi ya Rhino Rangers iliyochezwa Machi 22 mwaka huu mjini Tabora tumezuia...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-uwnmM8IQ6sE/UysGtjdvvdI/AAAAAAAFVHk/F5RSA9nOmxU/s72-c/images.jpg)
TAARIFA MBALIMBALI ZA MICHEZO KUTOKA SHIRKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF).
![](http://1.bp.blogspot.com/-uwnmM8IQ6sE/UysGtjdvvdI/AAAAAAAFVHk/F5RSA9nOmxU/s1600/images.jpg)
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemteua Salum Madadi kuwa Mkurugenzi wake mpya wa Ufundi.
Uteuzi huo umefanya na Kamati ya Utendaji katika kikao chake cha dharura kilichofanyika jana (Machi 19 mwaka huu) jijini Dar es Salaam.
Kabla ya uteuzi, Madadi alikuwa akikaimu nafasi hiyo tangu Januari mwaka huu baada ya Mkurugenzi wa Ufundi aliyekuwepo kumaliza mkataba wake Desemba 31 mwaka jana.
Madadi mwenye leseni A ya ukocha...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-BCgidLd05n8/Uyw5NcDf47I/AAAAAAAFVVc/mDHU48WuhIQ/s72-c/tff_LOGO113.jpg)
TAARIFA MBALIMBALI ZA MICHEZO KUTOKA SHIRISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF)
![](http://1.bp.blogspot.com/-BCgidLd05n8/Uyw5NcDf47I/AAAAAAAFVVc/mDHU48WuhIQ/s1600/tff_LOGO113.jpg)
TFF na CRDB zimefanya kikao cha pamoja jana (Machi 20 mwaka huu) kuhusu masuala ya tiketi za elektroniki na kukubaliana kuunda kikosi kazi hicho kwa ajili ya uboreshaji matumizi ya mfumo huo.
Kikosi...