Taarifa mpya kuhusu maendeleo ya afya ya Rais Kikwete
![](http://2.bp.blogspot.com/-3opn9mcK4wU/VGItjw7J2GI/AAAAAAAGwmU/d2GzG9wE90w/s72-c/D92A2940.jpg)
Rais Kikwete akiwasiliana na baadhi ya wananchi waliokuwa wakimjulia hali kupitia simu yake ya mkononi kupitia ujumbe mfupi(sms) leo Jumatatu.Rais Kikwete anayepata matibabu katika hospitali ya Johns Hopkins jijini Baltimore Maryland nchini Marekani anaendelea vizuri na anafanya mazoezi mara kwa mara na afya yake inaendelea kuimarika(picha: Freddy Maro)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete jana, Jumatatu, Novemba 10, 2014, alianza kuwasiliana na mamia kwa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog28 Dec
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto yatoa taarifa kuhusu hali ya Kipindupindu nchini
Waziri Ummy Mwalimu alizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na hali ya kipindupindu nchini ambapo hadi sasa ni mikoa 21 ya Tanzania Bara imeathirika.Jumla ya watu 12,222 wameugua kipindupindu na kati yao watu 196 wameshafariki.
Baadhi ya waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali wakimfuatilia waziri huyo(hayupo pichani) alipokuwa akitoa taarifa hiyo.Hata hivyo Waziri Ummy ameagiza kila wiki (jumatatu) wizara yake kutoa taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu hali ya...
11 years ago
Dewji Blog13 May
Taarifa ya Wizara ya Afya kuhusu ugonjwa wa Homa ya Dengue
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid na Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,Charles Pallangyo.
Utangulizi
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii inapenda kutoa taarifa kwa Umma juu ya mwenendo wa ugonjwa wa homa ya dengue yaani “dengue fever” hapa nchini.Ugonjwa huu umethibitishwabaada ya sampuli zilizochukuliwa kutoka kwa watu waliohisiwa kuwa na ugonjwa huu jijini Dar es Salaam kupelekwa kwenye maabara yetu ya Taifa Dar es salaam na kuthibitisha kuwa na...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-03BMbnlI4mw/VPdm7VFD8EI/AAAAAAAAcZY/dr-X45BV2Hc/s72-c/Untitled.png)
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/--n42I-KnkLg/VgasVu67GPI/AAAAAAAH7UI/ROBNkSlx_AM/s72-c/j1.jpg)
TAARIFA YA WIZARA YA ULINZI NA JKT JUU YA UZUSHI KUHUSU AFYA YA MKUU WA MAJESHI
TAARIFA HIZO NI UONGO WENYE KILA DALILI YA KUTENGENEZWA KWA LENGO LA KUWATIA HOFU WATANZANIA JUU YA USALAMA WA KIONGOZI HUYU WA JUU WA MAJESHI YETU.UKWELI NI KUWA MKUU WA MAJESHI YA ULINZI, JENERALI DAVIS MWAMUNYANGE NI...
9 years ago
Dewji Blog27 Sep
Taarifa Wizara ya Ulinzi na JKT juu ya Uzushi kuhusu Afya ya Mkuu wa Majeshi nchini
Jenerali Mwamunyange akiteta jambo na mwenyeji wake Rome, nchini Italia.
TAARIFA YA WIZARA YA ULINZI NA JKT JUU YA UZUSHI KUHUSU AFYA YA MKUU WA MAJESHI
KUMEKUWAPO UVUMI WENYE KUUPOTOSHA UMMA KUWA MKUU WA MAJESHI YA ULINZI NCHINI AMENUSURIKA KIFO BAADA YA KUWEKEWA SUMU KATIKA CHAKULA NA HIVI SASA AMELAZWA KATIKA HOSPITALI YA AGA KHAN ILIYOPO NAIROBI, NCHINI KENYA, HUKU WENGINE WAKIDAI KUWA YUKO NCHINI INDIA KWA MATIBABU.
TAARIFA HIZO NI UONGO WENYE KILA DALILI YA KUTENGENEZWA KWA LENGO LA...
11 years ago
BBCSwahili29 Jan
Taarifa mpya kuhusu shambulizi Nigeria
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-r96SQNRyHyc/XlpfpskMB2I/AAAAAAALgFM/HPvEWQv3fo0I4P8iiwqFykHoVW6x7p2WwCLcBGAsYHQ/s72-c/1-72.jpg)
WAZIRI WA AFYA ATOA TAARIFA KUHUSU MWENENDO WA UGONJWA WA HOMA KALI YA MAPAFU (COVID-19) NCHINI
![](https://1.bp.blogspot.com/-r96SQNRyHyc/XlpfpskMB2I/AAAAAAALgFM/HPvEWQv3fo0I4P8iiwqFykHoVW6x7p2WwCLcBGAsYHQ/s640/1-72.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/02/2-60.jpg)
9 years ago
StarTV13 Nov
Rais Magufuli apokea taarifa rasmi ya Rais Mstaafu Kikwete
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Magufuli amepokea taarifa rasmi ya makabidhiano ya Ofisi kutoka kwa Rais Mstaafu Mheshimiwa Jakaya Kikwete.
Makabidhiano hayo yamefanyika leo mchana Ikulu jijini Dar es Salaam yakishuhudiwa na Makamu wa Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Maafisa wa Ofisi Binafsi ya Rais.
Rais Mstaafu Jakaya Kikwete amekabidhi taarifa rasmi yenye kurasa 53 ambayo kwa ujumla inaelezea kazi zilizokwishakufanyika...