TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA DISEMBA 1,2015

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YANCHI JESHI LA POLISI TANZANIA.TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI “PRESS RELEASE” TAREHE 01.12.2015.
- WATU WATATU WAUAWA KATIKA MATUKIO MATATU TOFAUTI WILAYA ZA CHUNYA, RUNGWE NA MBARALI.
- WATU WAWILI WAFARIKI DUNIA KATIKA TUKIO LA AJALI JIJINI MBEYA.
- WATU WANNE WAKAMATWA NA SILAHA MBILI NA NYARA ZA SERIKALI WILAYANI CHUNYA.
- MTU MMOJA AKAMATWA NA NYARA ZA SERIKALI...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA TAREHE 22.09.2015.
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANI WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHIJESHI LA POLISI TANZANIA.

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI
· WATU WAWILI WAFARIKI DUNIA BAADA YA BAJAJI WALIYOKUWA WAKISAFIRIA KUGONGA GARI.
· MTU MMOJA AFARIKI DUNIA NA WENGINE KUJERUHIWA BAADA YA BAJAJI WALIYOKUWA WAKISAFIRIA KUACHA NJIA NA KUPINDUKA.
· MTU MMOJA AFARIKI DUNIA NA WENGINE KUJERUHIWA BAADA YA BASI MALI YA KAMPUNI YA SAI BABA KUGONGA LORI LILILOKUWA...
10 years ago
Michuzi
TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA OKTOBA 30,2015.

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI “PRESS RELEASE” OKTOBA 30,2015.
· WATU WATATU WANAODHANIWA KUWA MAJAMBAZI WANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA KOSA LA UNYANG’ANYI WA KUTUMIA SILAHA.
· WATU WAWILI WANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA KOSA LA KUMILIKI SILAHA KINYUME CHA SHERIA.
KATIKA TUKIO LA KWANZA:WATU WATATU WANAODHANIWA...
10 years ago
Michuzi
TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI TAREHE 18.08.2015. KUFANYA KAZI YA ULINZI NA USALAMA ILIYOKASIMIWA KWA JESHI LA POLISI.


KATIKA MSAFARA WAKE KUTOKA UWANJA WA NDEGE [SONGWE] KULIONEKANA GARI MOJA (PICHANI) AINA YA LAND CRUISER – PICK UP YENYE RANGI NYEUSI NA NDANI YAKE LILIKUWA LIMEBEBA VIJANA AMBAO WALIKUWA WAMEVAA MAVAZI MEUSI, KOFIA – BERETI NYEUSI NA MIWANI...
10 years ago
Michuzi14 May
10 years ago
Michuzi09 Jul
10 years ago
Michuzi12 Feb
9 years ago
Michuzi27 Nov
10 years ago
Michuzi18 Mar
10 years ago
Michuzi08 Apr