Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA TABORA LEO TAREHE 22/04/2014.

 Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Suzan Kaganda akiongea na waandishi wa habari. Kulia mwenye shati la bluu ni OC-CID wilaya ya Tabora ASP - R.S. Bottea  Kamanda Suzan Kaganda akionesha mitambo ya Pombe ya moshi na pombe iliyokamatwa maeneo mbalimbali ya mkoa wa Tabora  Kamanda Suzan Kaganda akionesha mitambo ya kutengenezea pombe ya moshi kwa waandishi wa habari Kamanda Suzan Kaganda akiwaonesha waandishi wa habari Gobore alilokamatwa nalo mhalifu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA TABORA LEO TAREHE 26/05/2014.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora ACP Suzan S. Kaganda  leo ameongea na waandishi wa habari na kutoa taarifa ya mafanikio yaliyopatikana katika misako ya wahalifu na uhalifu, ambapo kumekematwa bastola, gobore , banghi gunia sita mitambo ya kutengenezea pombe ya moshi.  Afande ACP Suzan S. Kaganda KAMANDA WA POLISI MKOA WA TABORA akionesha gobore iliyotengenezwa kienyeji ikiwa imekatwa kitako na risasi 2 za shotgun na 3 za SMG/SAR
Pistol Glock17 namba TZ Car 91968  ikiwa na magazine yenye...

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA TABORA LEO JULAI 8, 2014

 Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP Suzan S. Kaganda leo tarehe 08.07.2014 akiongea na waandishi wa habari na kutoa ufafanuzi juu ya mambo mbalimbali ikiwemo kukamatwa kwa wahamiaji haramu 17 kutoka nchini Burundi Sehemu ya wahamiaji haramu 17 kutoka nchini Burundi wakiwasili kituo cha kati TaboraMmoja wa wahamiaji haramu 17 kutoka nchini Burundi akiongea na wanahabari

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LEO TAREHE 09.02. 2014.

AFISA MSAMBAZAJI WA TANROAD AFARIKI  DUNIA KATIKA AJALI YA BARABARANI MKOANI MBEYA.
GARI LISILOFAHAMIKA NAMBA ZAKE ZA USAJILI WALA DEREVA WAKE LILIMGONGA MPANDA PIKIPIKI AITWAYE ANDREW CHIWINGA (50) AFISA MSAMBAZAJI WA TANROAD NA MKAZI WA IWAMBI MBEYA ALIYEKUWA ANAENDESHA PIKIPIKI YENYE NAMBA ZA USAJILI STK 8793 AINA YA TVS STAR NA KUSABABISHA KIFO CHAKE PAPO HAPO.  AJALI HIYO ILITOKEA MNAMO TAREHE 08.02.2014 MAJIRA YA SAA 20:45HRS USIKU ENEO LA IYUNGA WILAYA YA MBEYA VIJIJINI. CHANZO CHA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani