TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOANI WA TABORA LEO
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziTAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA TABORA LEO TAREHE 26/05/2014.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora ACP Suzan S. Kaganda leo ameongea na waandishi wa habari na kutoa taarifa ya mafanikio yaliyopatikana katika misako ya wahalifu na uhalifu, ambapo kumekematwa bastola, gobore , banghi gunia sita mitambo ya kutengenezea pombe ya moshi.
Afande ACP Suzan S. Kaganda KAMANDA WA POLISI
MKOA WA TABORA akionesha gobore iliyotengenezwa kienyeji ikiwa imekatwa kitako na risasi 2 za shotgun na 3 za SMG/SAR
Pistol Glock17 namba TZ Car 91968 ikiwa na magazine yenye...
Pistol Glock17 namba TZ Car 91968 ikiwa na magazine yenye...
11 years ago
MichuziTAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA TABORA LEO JULAI 8, 2014
Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP Suzan S. Kaganda leo tarehe 08.07.2014 akiongea na waandishi wa habari na kutoa ufafanuzi juu ya mambo mbalimbali ikiwemo kukamatwa kwa wahamiaji haramu 17 kutoka nchini Burundi Sehemu ya wahamiaji haramu 17 kutoka nchini Burundi wakiwasili kituo cha kati TaboraMmoja wa wahamiaji haramu 17 kutoka nchini Burundi akiongea na wanahabari
11 years ago
MichuziTAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA TABORA LEO TAREHE 22/04/2014.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Suzan Kaganda akiongea na waandishi wa habari. Kulia mwenye shati la bluu ni OC-CID wilaya ya Tabora ASP - R.S. Bottea
Kamanda Suzan Kaganda akionesha mitambo ya Pombe ya moshi na pombe iliyokamatwa maeneo mbalimbali ya mkoa wa Tabora
Kamanda Suzan Kaganda akionesha mitambo ya kutengenezea pombe ya moshi kwa waandishi wa habari
Kamanda Suzan Kaganda akiwaonesha waandishi wa habari Gobore alilokamatwa nalo mhalifu...
11 years ago
Michuzi05 May
10 years ago
Michuzi11 years ago
MichuziTaarifa ya Jeshi la Mkoa wa Tabora leo
Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP Suzan Kaganda leo tarehe 19/05/2014 amekutana na waandishi wa habari na kuongelea mambo mbalimbali hasa matukio ya kukamatwa kwa risasi 307 za SMG, tatu za shortgun na bunduki aina hiyohiyo, tano za Rifle na bunduki yake. Pichani ni Kamanda Kaganda akionyesha sehemu ya risasi hizo pamoja na sare za Jeshi zilizokamatwa mkoani humo.Picha/Habari na FAKIH ABDUL - Mwandishi wa habari wa jeshi la Polisi mkoa wa Tabora.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP...
Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP...
10 years ago
MichuziJESHI LA POLISI MKOANI TABORA LAENDELEA NA OPERESHENI TOKOMEZA UHALIFU,WATANO WATIWA MBARONI
Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora,ACP Suzan S. Kaganda akiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo pichani) silaha zilizokamatwa na Jeshi la Polisi mkoani humo katika Opereshen kali iliyokuwa ikifanyika. ambapo walikamatwa watuhumiwa watano wakiwa na silaha hizo aina ya SMG mbili No AB-018-0414 na EE 125419 zikiwa na risasi 25 na Gobore tatu,baruti na goroli pamoja na vipande vya nondo.Watuhumiwa hao walikamatwa katika maeneo ya Igunga,Kaliua na Sikonge mkoani Tabora.Kamanda wa Polisi mkoa wa...
11 years ago
Michuzi24 Jun
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania