TAARIFA YA MKUTANO KWA WANA WERUWERU JUMAMOSI CINE CLUB, MIKOCHENI, DAR ES SALAAM
NOTICE IS HEREBY Given that a General Meeting of the foundation will be held at Cine Club, Mikocheni/Msasani, Dar es Salaam on Saturday, 8th February, 2014 at 10.00hrs.
Mkutano wa Weruweru Alumnae Foundation utafanyika Jumamosi tarehe 8 Februari 2014, Cine Club, Mikocheni/Msasani, Dar es Salaam kuanzia saa Nne (4) asubuhi Tafadhali mtaarifu Golden Girl mwingine
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboTAMASHA LA FAHARI YA MWAFRIKA KUFANYIKA OKTOBA 3,2015 CLUB YA ESCAPE ONE MIKOCHENI JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
VijimamboMGOMBEA URAIS KUPITIA CCM DR. JOHN POMBE MAGUFULI AWASILI JIJINI DAR ES SALAAM NA AJITAMBULISHA KWA WANA DAR ES SALAAM
9 years ago
Bongo527 Nov
Instagram Party kufanyika Jumamosi hii, Escape One Mikocheni, Dar
KAMPUNI ya Freconic Ideaz, imeandaa tamasha la burudani la ‘Instagram party’ litakalofanyika Jumamosi hii maeneo ya Escape One, Mikocheni jijini Dar es Salaam likiwa na lengo la kuwakumbusha wapenzi wa muziki, mavazi na misemo ya kizamani.
Mkurugenzi Mtendaji wa Freconic ideaz, Fred Ngimba akifafanua jambo alipokuwa anaongea na waandishi wa habari Ijumaa hii katika fukwe za Escape One kuhusu kukamilika kwa maandalizi ya tamasha kubwa la burudani litakalofanyika jumamosi hii tarehe 28...
10 years ago
MichuziRAIS JK AFUNGUA MKUTANO WA KWANZA WA DIASPORA JIJINI DAR ES SALAAM LEO, WANA-DIASPORA KIBAO WAHUDHURIA
Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda akimkaribisha Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuhutubia na kufungua rasmi Mkutano wa Diaspora. Sehemu ya wageni waalikwa akiwemo Balozi Mwanaidi Maajar ambaye anasifika kwa...
10 years ago
Dewji Blog14 Jul
Mgombea urais kupitia CCM Dr. John Pombe Magufuli awasili jijini Dar, ajitambulisha kwa wana Dar Es Salaam
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe Magufuli pamoja na Mgombea Mwenza Mama Samia Suluhu wakishuka kwenye ndege mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Mwalimu J.K.Nyerere na kulakiwa na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali Mkoa wa Dar es salaam, Ambapo baadae Wagombea hao walitambulishwa kwenye mkutano mkubwa wa Hadhara katika viwanja vya Zakhem Mbagala jijini Dar es salaam.
Magufuli amekishukuru chama cha Mapinduzi na watanzania kwa...
9 years ago
MichuziTAMASHA LA FAHARI YA MWAFRIKA KUFANYIKA OKTOBA 3,2015 CLUB YA ESCAPE ONE MIKOCHENI JIJINI DAR
9 years ago
Dewji Blog27 Nov
Tamasha kubwa la burudani la INSTAGRAM PARTY kufanyika Jumamosi viwanja vya Escape One Mikocheni jijini Dar
Mkurugenzi wa Freconic ideaz, Fred Ngimba.
Mkurugenzi wa Freconic ideaz, Fred Ngimba (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu tamasha kubwa la burudani la Instagram Party litakalofanyika Jumamosi katika viwanja vya Escape One Mikocheni likiwa na kauli mbiu Bongo Throw Back. Kulia ni Meneja Mawasiliano, Krantz Mwantepele.
Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.
Wanahabari wakiwa kwenye mkutano huo.
Na Dotto Mwaibale
KAMPUNI ya Freconic...
10 years ago
Michuziklabu za michezo za maveterani Dar es salaam kurehemu marehemu Jumatatu (Mapinduzi Day) Leaders club, Kinondoni, jijini Dar es salaam
Ratiba itaanza Saa 7 mchana katika viwanja vya Leaders club jijini Dar es salaam. Dua zitafanyika kutoka kwa Father Oscar na Sheikh Kipoozeo. Dua hizo zitafuatiwa na Chakula cha pamoja cha mchana...