Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAARIFA YA UTEKELEZAAJI WA ILANI YA CCM JIMBO LA BUSOKELO 2015-2018 CHINI YA MBUNGE ATUPELE MWAKIBETE

 Jimbo la Busokelo ni kati ya Majimbo saba ya uchaguzi kwa Mkoa wa Mbeya, lina tarafa moja, Kata 13 ambazo ni Kata ya Mpombo, Kandete, Isange, Luteba, Lwangwa, Kabula, Mpata, Itete, Lufilyo, Lupata, Kisegese, Ntaba na Kambasegela. Na vijiji 56, Matawi ya CCM ni 72. 

Kwa kuwa mambo mengi yaliyofanywa na Mbunge wa jimbo hilo Ndugu Atupele Mwakibete katika utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichompa ridhaa ya kugombea Ubunge na hatimaye kushinda kuwa Mwakilishi wa wana Busokelo...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM NA AHADI ZA MBUNGE JIMBO LA CHALINZE 2015-2020


Mheshimiwa Ridhiwani Jakaya KikweteSALAMU KUTOKA KWA MHESHIMIWA RIDHIWANI JAKAYA KIKWETE MBUNGE WA CHALINZE (2015-2020)

Mwaka 1995 Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Gazeti lake la Serikali ilitangaza jimbo jipya
la Uchaguzi la Chalinze lenye Kata 15 katika Wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani.

Katika kipindi cha Miaka ishirini na mitano (25) toka kuanzish￾wa kwa jimbo hili la uchaguzi, tumeshuhudia maendeleo makubwa.

Pamoja na maendeleo yaliyopatikana katika kipindi hicho,...

 

5 years ago

CCM Blog

TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM NA AHADI ZA MBUNGE WA MBINGA MJINI SIXTUS MAPUNDA 2015-2020

Jimbo la Mbinga mjini lililopo katika Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma, lina jumla ya Kata 19, na ni miongoni mwa majimbo ambayo yamebahatika kupata Wabunge Vijana. Baada ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika mwaka 2015, Jimbo hilo lilipahatika kumpata Mbunge Kijana anayeelezewa kuwa ni mchapakazi mahiri.

Baada ya mbunge huyo Mh. Sixtus Mapunda kukaribia kuhitimisha miaka yake ya Ubunge katika jimbo hilo, yeye na timu yake wametayarisha Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM sambamba na...

 

5 years ago

CCM Blog

TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF) KWA MWAKA 2015/16 — 2018/19

Mfuko ulianzishwa kwa sheria namba 16 ya mwaka 2009 iliyotungwa na bunge na kupitishwa tarehe 21 Agost 2009. Mfuko utaitwa Mfuko wa Kuchochea Maendeleo ya Jimbo - Constituencies Development Catalyst Fund (CDCF).Lengo la mfuko huu ni miradi ya maendeleo kwenye kila jimbo la Uchaguzi, kwa hiyo itapokea fedha na kuchangia kwenye miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwenye Jimbo  kwa ajili ya kuchochea maendeleo ya miradi hiyo.Fedha ya mfuko inatolewa na serikali kuu kila mwaka wa fedha kulingana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani