Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAARIFA YA VISHOKA KUTOKA PSPF

MFUKO WA PENSHENI WA PSPF TAARIFA KWA UMMA Mfuko wa Pensheni wa PSPF unapenda kuwataarifu  wananchi wote kuwa, hivi karibuni kumekuwa na watu au kikundi cha watu wanaosambaza taarifa potofu kwa wanachama wa PSPF kwa njia ya ujumbe mfupi wa simu ya mkononi kwa nia ya kuwatapeli. Taarifa hizo zinazotolewa siyo sahihi na PSPF inawaomba wanachama wake kuchukua tahadhari dhidi ya ujumbe huo wa kupotosha unaosambazwa kwa njia ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

10 years ago

Michuzi

TAARIFA RASMI KUTOKA JESHI LA MAGEREZA KUHUSU TAARIFA ZA UZUSHI ZINAZOZAGAA KUWA BABU SEYA NA MAWAE WAMEACHIWA HURU

Hivi sasa kuna taarifa zimesambaa kupitia Ujumbe mfupi wa simu (SMS) na mitandao ya kijamii zikihusisha kuachiliwa huru kwa wafungwa wawili wanaotumikia Kifungo cha Maisha gerezani. Wafungwa hao wanaotajwa ni Nguza Vicking(Maarufu kwa jina Babu Seya) na Johnson Nguza(Maarufu kwa jina la Papii Kocha).
Napenda kuufahamisha Umma wa Watanzania kuwa taarifa hizo zote zilizotolewa kupitia njia hizo ni za Uongo na uzushi mkubwa na zinalenga kuipotosha jamii kwani wafungwa hao wapo gerezani na...

 

9 years ago

Vijimambo

TAARIFA KUTOKA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA KUHUSU MAHUJAJI KUTOKA TANZANIA WALIOFARIKI NA KUJERUHIWA HUKO SAUDI ARABIA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA
Simu: 255-22-2114615, 211906-12

Barua pepe: nje@nje.go.tz

Barua pepe: gcu@nje.go.tz

Tovuti : www.foreign.go.tz

Nukushi: 255-22-2116600

              

 


                20 KIVUKONI FRONT,

                           P.O. BOX 9000,

                  11466 DAR ES SALAAM, 

                                    Tanzania.


 

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI  Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa imepokea kwa...

 

9 years ago

Michuzi

PSPF YAVUNA WANACHAMA KUTOKA KIKUNDI CHA WAJASIRIAMALI WA VOWET


Meneja wa Mfuko wa Mpango wa Uchangiaji wa Hiari (PSS), wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Mwanjaa Sembe, (aliyesimama), akiwaongoza wanachama wapya waliojiunga na mpango huo, wakati wa warsha ya siku moja iliyowakutanisha maafisa na mabalozi wa PSPF, na wanakikundi wa Sauti ya Wanawake Wajasiriamali Tanzania, (VOWET), kwenye ukumbi wa Belmonte jijini Dar es Salaam, Oktoba 13, 2015. (Picha na K-VIS MEDIA/Khalfan Said)
Na K-VIS MEDIA

MFUKO wa Pensheni wa PSPF, umezidi k”kupenya’ kwenye sekta...

 

11 years ago

GPL

WANANCHI JIJINI DAR WACHANGAMKIA MPANGO WA UCHANGIAJI WA HIARI KUTOKA PSPF

Mwanjaa Sembe & Abdul A. Njaidi - Meneja wa PSS na Afisa Uhusiano wakielekeza jinsi ya kujaza fomu za uchangiaji mpango wa hiari. Fatuma H. Nalaga - Afisa Masoko wa PSPF akiwasaidia wananchi kujaza fomu za kujiunga na mpango wa uchangiaji wa hiari.…

 

10 years ago

GPL

AMANI ORPHANAGE CENTER CHA POKEA ZAWADI NA MSAADA KUTOKA PSPF‏

Kushoto ni Meneja wa Pwani wa PSPF Msafiri S. Mugaka  akiwa na Afisa Mahusiano wa PSPF Coleta Mnyamani wakiwakabidhi zawadi ya Mbuzi  kwa ajilli ya Krismasi watoto wa kituo cha kulelea yatima cha Amani Orphanage Centre tarehe 5.12.2014  Afisa Mahusiano wa PSPF Coleta Mnyamani akimkabidhi zawadi ya vinywaji mmoja wa watoto katika kituo hicho… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani