TAASISI YA HAKI FURSA YAMUOMBA SPIKA WA BUNGE KUANDAA TUZO MAALUM KWA AJILI YA KUTAMBUA MCHANGO WA RAIS DK.MAGUFULI KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA CORONA
Ofisa Mipango wa Taasisi ya Haki Fursa Kwagilwa Reuben (katikati) akifafanua jambo kwa waandishi habari leo Mei 27 , 2020 jijini Dar es Salaam kuhusu umuhimu wa Rais Dk.John Magufuli kupewa tuzo maalumu ya kutambua na kuthamini mchango wake katika kupambana na janga la Corona nchini.Kushoto ni Katibu Mtendaji wa taasisi hiyo Ntimi Charles na kulia ni Ofisa Ustawi wa Jamii wa taasisi hiyo Lwitiko Mwakikuti.
Katibu Mtendaji wa Taasisi ya Haki Fursa Ntimi Charles (katikati) akisikiliza kwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
PROF.NYAGORI ASHAURI TAASISI ZA AFYA KUMPA TUZO RAIS MAGUFULI KUTOKANA NA MAPAMBANO YA CORONA

DAKTARI Mshauri Mwandamizi wa Magonjwa ya Ndani na Moyo, Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), ambaye pia ni Mhadhiri wa vyuo vikuu mbali mbali vya tiba, Profesa Harun Nyagori ameshauri taasisi za vyuo vikuu vya Afya nchini Tanzania, pamoja na Shirika la Afya Duniani (WHO), kumpatia tuzo maalumu ya heshima, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, kwa ajili ya kutambua mchango wake katika kupambana na janga la Corona.
Akizungumza na...
5 years ago
CCM Blog
KAMATI KUU YAMPONGEZA RAIS DK. MAGUFULI KWA UMAHIRI ALIOTUMIA KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA CORONA, YARIDHISHWA NA MAANDALIZI YA UCHAGUZI MKUU 2020

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imempongeza Rais Dk. John Magufuli kwa Uongozi imara, msimamo thabiti na usioyumba katika kipindi chote cha mapambano dhidi ya ugonjwa wa Virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa Covid 19.
Pongezi hizo zimetolewa na Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, katika kikao chake kilichofanyika jana katika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma, chini ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli.
Pamoja na pongezi hizo Kamati...
5 years ago
Michuzi
RAIS MAGUFULI AWAKABIDHI MARAIS WASTAAFU TAUSI 25 KILA MMOJA NA MAMA MARIA NYERERE KWA KUTAMBUA MCHANGO WAO KATIKA TAIFA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Hati ya Makabidhiano ya zawadi ya Ndege aina ya Tausi 25 kwa Mama Maria Nyerere mjane wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kwa ajili ya kuwafuga katika Makazi yake, hafla hiyo fupi ilifanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma.

5 years ago
Michuzi
TAASISI YA AMANI KWA WAISLAMU TANZANIA YAMPONGEZA RAIS MAGUFULI MAPAMBANO DHIDI YA CORON, YATOA RAI KWA WANANCHI

TAASISI ya Amani kwa Waislamu Tanzania (TIPF) kupitia Mwenyekiti wake Sadiki Godigodi imeipongeza hotuba ya Rais Dk. John Magufuli ambayo ameitoa siku za karibuni kuhusu hali halisi ya janga la ugonjwa wa Covid-19 nchini.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti huyo ni kwamba hotuba ya Rais Magufuli imejaa matumaini hususn katika matumizi ya dawa za kujifukiza huku akiwataka wataalamu wa kitaifa na kimataifa kuhakikisha wanafanyia kazi dawa hizo za asili zilizoonesha matumaini...
5 years ago
CCM Blog
NMB YATOA MCHANGO WA SH. MIL 100 KWA SERIKALI KUSAIDIA MAPAMBANO DHIDI YA CORONA

11 years ago
Michuzi05 Aug
5 years ago
CCM BlogMAJALIWA APOKEA MISAADA KWA AJILI YA MAPAMBANO DHIDI YA UGONJWA WA CORONA
5 years ago
Michuzi
ASASI ZA KIRAIA ZACHANGIA SH MILIONI 79 KWA AJILI YA KUSAIDIA MAPAMBANO DHIDI YA CORONA
Charles James, Michuzi TV
KATIKA kuunga mkono jitihada zinazofanywa na serikali kwenye mapambano ya kuzuia maambukizi ya ugonjwa wa Corona, Mashirika yasiyo ya kiserikali (AZAKI) yamechangia Sh Milioni 79 kwa kamati ya kupambana na ugonjwa huo inayoongozwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
AZAKI pia imeahidi kutoa elimu kwa jamii kuhusu jinsi ya kujikinga na ugonjwa huo ikiwemo kuhamasisha wananchi kutumia vitakasa mikono, maji ya kunawa, kuepuka misongamano isiyo ya lazima na kuwahi kituo cha...
10 years ago
MichuziRAIS WA BUNGE LA SADC NA SPIKA WA BUNGE LA TANZANIA MHE. ANNE MAKINDA ASHIRIKI MISA MAALUM YA KUMWOMBEA ALIYEKUWA RAIS WA ZAMBIA MAREHEMU MICHAEL SATA KATIKA VIWANJA VYA BUNGE LA ZAMBIA MJINI LUSAKA LEO