Taasisi ya Starkey Hearing Foundation ya Marekani yaendesha kliniki ya masikio mkoani Arusha
DAKTARI, Assay Shibanda(kushoto) na John Yuccas wakimwekea mwanafunzi wa Shule ya Msingi Elbol,Levina Innocent mashine ya kuongeza kiwango cha usikivu kwenye Kliniki inayoendeshwa kwa pamojakati ya Montage Limited na taasisi kutoka Marekani ya Starkey Hearing Foundation ya kuwawekea vifaa vya kuongeza usikivu inayofanyika kwenye viwanja vya Hoteli ya Kibo Palace jijini Arusha jana
Mtaalamu wa matatizo ya usikivu kutoka Taasisi ya Starkey Hearing Foundation ya nchini Marekani, Derek...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi13 Nov
TAASISI YA STARKEY HEARING FOUNDATION YAKABIDHI MADARASA MATATU SHULE YA MSINGI YA LOIBORSOIT
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/11/129.jpg)
![2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/11/217.jpg)
![3](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/11/313.jpg)
9 years ago
Dewji Blog22 Nov
NSSF yaendesha kongamano la Waajiri wa Taasisi mbalimbali za Kiserikali na zisizo za Kiserikali Mkoani Tanga!
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori akizungumza wakati akifungua kongamano la waajiri wa Taasisi mbalimbali ikiwemo za Kiserikali na zisizokuwa za kiserikali zilizokuwa na makao makuu yake mkoani Dar es Salaam lililofanyika jana mkoani Tanga kwenye hotel ya Tanga Beach, (Picha na Mwandishi Wetu).
Meneja Matekelezo na Kumbukumbu wa NSSF Makao Makuu, Maryam Muhaji akizungumza kwenye kongamano la waajiri wa Taasisi mbalimbali ikiwemo za...
5 years ago
MichuziTAASISI YA ODO UMMY FOUNDATION YATOA VIFAA VYA USAFI KWA TAASISI KUBWA ZA DINI JIJINI TANGA
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-hG4B2Bv73xk/Xra5VOWLZGI/AAAAAAALpjM/HxpBExecPLkX7q29IeXtA1yOojStxqnHwCLcBGAsYHQ/s72-c/3d720bd7-79eb-4a8d-af7f-3b402e50b4e3.jpg)
Taasisi ya DYCCC na AlHikma Foundation wakabidhi vifaa vya PPE kwa Taasisi ya JAI kwa ajili ya kuzikia
![](https://1.bp.blogspot.com/-hG4B2Bv73xk/Xra5VOWLZGI/AAAAAAALpjM/HxpBExecPLkX7q29IeXtA1yOojStxqnHwCLcBGAsYHQ/s640/3d720bd7-79eb-4a8d-af7f-3b402e50b4e3.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-ec5Q6ju2NAA/Xra5Vs6rk3I/AAAAAAALpjU/OisqI73Gh0kj0kKm7wCpOBNfzCUFo0lSQCLcBGAsYHQ/s640/9e3dfba9-eb30-48c6-95ab-a238604cc37c.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/--BJW1hJUyjU/Xra5VE7biyI/AAAAAAALpjQ/sSi5PyvjfTMlIsi8mSI1AkSU2TuXSH50ACLcBGAsYHQ/s640/87cbce05-6f25-49e9-ab60-bae06aca34ab.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-_lXebxgvym4/Xra5UxKas2I/AAAAAAALpjI/IZKl-A5pm3QQkE_iFyfC6nS4Y6gNsJ39gCLcBGAsYHQ/s640/1581cea7-5da2-43f7-8eda-316535ee3240.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-SdRrAo_STF8/Xra5WBMAgGI/AAAAAAALpjY/V_Bfs2Dk9dAV2GHDPOeo7CZSK18QjBbxQCLcBGAsYHQ/s640/e6bde3ff-8489-49e6-9c12-192c81aa6429.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-iZnoIK6vYR4/Xra5WeE4FbI/AAAAAAALpjc/gyxpOyVoVLg_-5Ram7l4hQjAMl39-a-7ACLcBGAsYHQ/s640/ed0061d6-c190-494f-b0f5-394ee04aa95e.jpg)
9 years ago
BBCSwahili25 Nov
Marekani ilishambulia kliniki 'kimakosa'
10 years ago
MichuziWizara ya Maendeleo ya Jamii yaendesha mkutano na wadau kutoka Taasisi za Serikali na Binafsi
10 years ago
MichuziOFISI YA TAIFA YA UKAGUZI YAENDESHA MAFUNZO KWA TAASISI WADAU WA USIMAMIZI WA SHERIA
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10