Tabora yavuka lengo chanjo surua na rubera
MKOA wa Tabora umevuka lengo la kampeni shirikishi ya chanjo ya surua, rubera na magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumembele licha ya kukabiliwa na changamoto mbalimbali. Akizungumza na Waandishi wa Habari mjini...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog22 Oct
Chanjo ya Surua na Rubella: Manispaa ya Ilala yavuka lengo
Mganga Mkuu wa Hospitali ya Manispaa ya Ilala Dkt. Willy Sangu akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) ofisini kwake leo.
Na Eleuteri Mangi-MAELEZO
Manispaa ya Ilala imevuka lengo la kutoa chanjo ya ugonjwa wa Surua na Rubella kwa watu 468,297 ambapo awali lengo lao lilikuwa kutoa chanjo hiyo kwa watu 445,801 wakati wa wiki ya kutoa chanjo hiyo nchini.
Hayo yamesemwa na Mganga Mkuu wa Hospitali ya Manispaa ya Ilala Dkt. Willy Sangu leo jijini Dar es salaam alipokuwa akitoa...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-XUO4_ojeSXM/VEetrQVFdSI/AAAAAAAGsqs/fKc04QwolTA/s72-c/unnamed%2B(83).jpg)
Chanjo ya ugonjwa wa surua na rubella Manispaa ya Ilala yavuka lengo
![](http://4.bp.blogspot.com/-XUO4_ojeSXM/VEetrQVFdSI/AAAAAAAGsqs/fKc04QwolTA/s1600/unnamed%2B(83).jpg)
Na Eleuteri Mangi-MAELEZO
Manispaa ya Ilala imevuka lengo la kutoa chanjo ya ugonjwa wa Surua na Rubella kwa watu 468,297 ambapo awali lengo lao lilikuwa kutoa chanjo hiyo kwa watu 445,801 wakati wa wiki ya kutoa chanjo hiyo nchini.
Hayo yamesemwa na Mganga...
11 years ago
Habarileo20 Jul
Serikali yavuka lengo usambazaji umeme
SERIKALI imekiomba Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuipangia upya malengo ya kusambaza umeme kwa wananchi kwa sababu malengo yaliyopangwa katika Ilani ya Uchaguzi Mkuu wa 2010 yamefikiwa na kupitwa hata kabla ya kumalizika kipindi cha miaka mitano.
10 years ago
Habarileo19 Jul
Ukerewe yavuka lengo kujiandikisha BVR
HALMASHAURI ya wilaya ya Ukerewe, Mwanza imeandikisha wananchi 162,883 katika daftari la kudumu la wapiga kura.
10 years ago
Mwananchi03 Mar
Tume yavuka lengo la uandikishaji Makambako
9 years ago
Global Publishers06 Jan
TRA yavuka lengo la kusanya Trilioni 1.4 kwa mwezi
Kaimu Kamishna Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA, Alphayo Kidata.
Jumla ya shilingi trilioni 1.4 imekusanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) katika kipindi cha mwezi Desemba mwaka uliopita wa 2015.
Kiasi hicho ni sawa na ongezeko la wastani wa shilingi bilioni 490 kwa mwezi ukulinganisha na wastani wa makusanyo ya kuanzia Julai hadi Novemba ambapo ,TRA ilikuwa imekusanya wastani wa shilingi bilioni 900 kwa mwezi.
Takwimu hizo zimetolewa leo jijini Dar es salaam na Kaimu Kamishna Mamlaka ya...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-YALWkr4Dcj4/Voz4Sy1SuBI/AAAAAAADEjs/mxfOoZTw-rI/s72-c/PIX%2B1.jpg)
TRA YAVUKA LENGO YAKUSANYA TRILIONI 1.4 KWA MWEZI
![](http://1.bp.blogspot.com/-YALWkr4Dcj4/Voz4Sy1SuBI/AAAAAAADEjs/mxfOoZTw-rI/s640/PIX%2B1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-0NqQKW38V3w/Voz4TccnILI/AAAAAAADEjo/SGkouMnkwvo/s640/PIX%2B2.jpg)
10 years ago
Tanzania Daima17 Oct
Wizara kutoa chanjo ya Surua, Rubella
WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii ikishirikiana na wadau wa maendeleo imeandaa kampeni shirikishi ya kutoa chanjo ya ugonjwa wa Surua na Rubella kwa watoto wenye kuanzia miezi tisa...
10 years ago
Tanzania Daima18 Oct
RC Mahiza ahimiza chanjo ya surua na rubella
MKUU wa Mkoa wa Pwani, Mwantum Mahiza, amewataka wananchi kushiriki kikamilifu kwenye zoezi la chanjo ya surua na rubella inayoanza leo hadi Oktoba 24 mwaka huu na kwamba hazina madhara....