TAHADHALI YA MATAPELI WA MTANDAO KUTOKA BBC SWAHILI
Idhaa ya Kiswahili ya BBC inataka kuwatahadharisha wasikilizaji na watumiaji wa mtandao wake wa bbcswahili.com dhidi ya wahalifu wanaotumia jina la BBC kuwahadaa na kutaka kuwatapeli watu.
Kumezuka mtandao bandia unaotumia jina la BBC SWAHILI NEWS kuandika habari za uzushi na kulaghai wananchi kwa habari zisizokuwa na ukweli wala uhusiano na shirika hili la habari.
BBC inapenda kuwakumbusha wasikilizaji na wasomaji wake wote wanaofuatilia habari zake kuwa makini. BBC inaufahamisha umma wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi10 years ago
Michuzi9 years ago
Michuzi11 years ago
Dewji Blog12 Aug
BBC Swahili yazindua studio nchini, Kipindi cha asubuhi cha amka na BBC kuruka moja kwa moja kutokea Dar
Mkuu wa Habari wa BBC Idhaa ya Ulimwengu,Bi. Nikki Clarke akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Kituo cha kurushia Matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya BBC jijini Dar es Salaam,katika Jengo lao lililopo Mikocheni.Kushoto ni Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili ya BBC, Ali Saleh.(Picha zote na Othman Michuzi).
BBC Idhaa ya Ulimwengu, imezindua ofisi zake jijini Dar es Salaam. Ofisi za Dar es Salaam zina studio ambazo zinatumika kuandaa matangazo maarufu ya redio ya asubuhi, Amka na BBC, na pia...
10 years ago
BBCSwahili02 Oct
Nafasi ya kazi BBC Swahili
10 years ago
Michuzi10 years ago
Michuzi10 years ago
Mwananchi25 Jan
Mwananchi iliniimarisha kuelekea BBC Swahili (2)
10 years ago
Dewji Blog21 Jul
BBC Swahili presents: The new-look Dira ya Dunia
Kipindi cha Kiswahili cha BBC Televisheni Dira ya Dunia sasa kinakujia na muonekano mpya unaovutia.
Kipindi hicho kinachopeperusha Taarifa ya habari kwa zaidi ya wasikilizaji milioni 6.9 itakuwa na sura mpya inayojumuisha maandishi mapya yaliyotiwa nakshi,vipindi vipya na ripoti za kina zinazojumuisha habari, michezo na burudani.
Tangu ilipozinduliwa mwaka wa 2012 Dira ya Dunia TV, inatazamwa kila siku na mashabiki nchini Tanzania, Kenya, Burundi na katika Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo....