Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tamasha la kuonyesha vipaji baina ya wanafunzi wa shule za St Mary’s International za Dar lafana

001

Mkurugenzi wa Shule za St Mary’s, mama Getrude Lwakatare akizungumza na wanafunzi wa Shule za St Mary’s International za Dar es Salaam wakati akizundua tamasha la kuonyesha vipaji vya wanafunzi wa Shule za St Mary’s International za Dar es Salaam lililofanyika Novemba 15, 2014 jijini Dar es Salaam katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa.(PICHA NA PHILEMON SOLOMON).

Na Mwandishi wetu

Tamasha Hilo lililoshirikisha Shule za Mbagala, Tabata na Mbezi Junior lililenga kuonyesha vipaji vya wanafunzi...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TAMASHA LA KUONESHA VIPAJI BAINA YA WANAFUNZI WA SHULE ZA ST MARY'S INTERNATIONAL ZA DAR ES SALAAM LAFANA

 Mkurugenzi wa Shule za St Mary's, mama Getrude Lwakatare akizungumza na wanafunzi wa Shule za St Mary's International za Dar es Salaam wakati akizundua tamasha la kuonyesha vipaji vya wanafunzi wa Shule za St Mary's International za Dar es Salaam lililofanyika mwishoni mwa wiki, jijini Dar es Salaam katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa.PICHA NA PHILEMON SOLOMON Mkurugenzi wa Shule za St Mary's, mama Getrude Lwakatare (kushoto), akikabidhiwa baadhi ya Peni na Meneja Masoko wa Kampuni ya...

 

10 years ago

Michuzi

MAHAFALI DARASA LA SABA SHULE YA MSINGI YA ST.MARY'S INTERNATIONAL SCHOOL JIJINI MBEYA

Wanafunzi wa shule ya Kimataifa ya St.Mary's iliyoko eneo la Forest jijini Mbeya wakitoa burudani katika mahafali ya Darasa la saba katika shule hiyo yaliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini humo.Wahitimu wa Elimu ya Msingi katika shule ya Kimataifa ya St.Mary's Forest Jijini MbeyaWazazi na waleziUongozi wa shule ukitoa zawadi kwa wanafunzi walifanya vizuri katika masomo yao kwa upande wa wanafunzi wote kwa ujumla waliobaki shuleni hapo.
Kwa picha zaidi na Jamiimoja blog BOFYA HAPA

 

9 years ago

CCM Blog

TAMASHA LA KRISMAS LAFANA DAR

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiinua CD juu kama ishara ya uzinduzi wa album ya kundi la muziki wa kwaya la Wakorinto wa Pili kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee kwenye Tamasha la Chrismas lililoandaliwa na kampuni ya Msama Promotions.
 Katika Tamasha hilo Mheshimiwa Nape alisema kuwa Serikali inatambua juhudi za Wasanii na kuahidi kila msanii atapata stahiki yake anayotakiwa kupata.
 Nape ambaye alimuwakilisha Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu ,alielezea...

 

10 years ago

GPL

TAMASHA KUOMBEA AMANI LAFANA UWANJA WA TAIFA DAR

Mama Salma Kikwete akizungumza na wananchi muda mfupi baada ya uzinduzi wa albamu hiyo. Mgeni rasmi katika tamasha hilo, Mama Salma Kikwete akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa filamu ya Bonny Mwaitege, iitwayo ‘Tunapendwa na Mungu’. Kulia ni Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama.
Mwimbaji wa…

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA KRISMASI LAFANA UWANJA WA TAIFA, JIJINI DAR

Mwimbaji wa muziki wa injili Solomon Mahlangu kutoka nchini Afrka Kusini akiimba jukwaani  kwenye uwanja wa Taifa katika tamasha kubwa la Krismas lililofanyika jijini Dar es salaam likishirikisha waimbaji wengi kutoka nchi mbalimbali za afrika wakiwemo waimbaji wa Tanzania, Mwimbaji huyo Nguli wa muziki wa njili ameonyesha uzoefu mkubwa katika kuimba tofauti na waimbaji wengine waliotangulia ukiacha Ephraim Sekereti wa...

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA VODACOM BOMBASTIK LAFANA COCO BEACH, JIJINI DAR

Adamu Hamis akifanya makamuzi ya aina yake. Dj Dee Ommy na Dj PQ wakisababisha kwenye moja na mbili. Mashabiki…

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA GURUMO KUSTAAFU MUZIKI LAFANA TCC CHANG'OMBE, DAR

Gurumo (kulia) akipagawisha huku akisindikizwa na Hafsa Kazinja na Hussein Jumbe (kushoto). Hussein Jumbe na mcharaza gitaa maarufu, Miraj Shakashia 'Shakazulu' wakinogesha mambo. Sehemu ya…

 

10 years ago

Michuzi

TAMASHA LA MICHEZO LA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI NA TAASISI ZAKE LAFANA JIJINI DAR ES SALAAM

 Mgeni rasmi ambaye ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Lilian Mapfa (kushoto) akimsalimia mtumishi wa Wizara hiyo, Said Ngovi ambaye ni mvuta kamba wa timu ya Utawala wakati Mkurugenzi huyo alipokuwa anazikagua timu mbalimbali za wizara hiyo katika Tamasha la Michezo la kwanza lilishirikisha Wizara pamoja na taasisi zake ambazo ni timu ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uokoaji, Uhamiaji na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida). Tamasha...

 

11 years ago

Dewji Blog

Jerry Silaa atembelea na kukagua Barabara ya Tabata — St Mary’s yenye mgogoro baina ya mkandarasi na Dawasa

unnamed

Meya Wa Manispaa ya Ilala Mh Jery Silaa (wa Kwanza kulia) akifika eneo la Tabata St Marry’s kukagua kipande cha barabara hiyo ambacho kimezua mgogoro baina na Manispaa na Shirika la maji safi na salama DAWASA.

unnamed (1)

Mwenyekiti wa Serikali za Mitaaa Bwana Hassan Chambuso akimuongoza Mh Meya wa manispaa ya Ilala Jerry Silaa kwenda kujionea eneo la kipande cha barabara ya St Marry’s Tabata ambacho kinaleta shida baina ya Mkandarasi na Dawasa.

unnamed (2)

Mkandarasi wa barabara ya Tabata-St Mary Bwana  George...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani