Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tamthilia ya "A Boys Mission" yahitaji Milioni 800 ili ikamilike

Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni ya Forward Formidable Enterprises (FFE) inayoandaa tamthilia mpya na ya kisasa ya “A boys mission” Johnson Lujwangana katikati akifafanua jambo kuhusiana na tamthilia hiyo itakayoanza kurushwa kwenye vituo vya televisheni kuanzia mwezi septemba. Wengine katika picha kutoka kushoto ni Brian daniel, Neema Mung'anya, Samuel katabazi, Jesca haule, Aisha bakari na Victor Casmir. Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni ya Forward Formidable Enterprises (FFE) inayoandaa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Stamico yatoa milioni 800/- Buhemba

SERIKALI kupitia Shirika la Madini la Taifa (Stamico) limetoa takribani Sh milioni 800 kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa, nyumba ya mwalimu na kituo cha afya katika eneo la mgodi wa Buhemba ulioko Musoma, mkoani Mara.

 

5 years ago

Michuzi

MILIONI 800 ZATUMIKA KUKARABATI CHUO CHA UALIMU BUSTANI, WAZIRI NDALICHAKO AHIMIZA UZALENDO


Charles James, Michuzi TV

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof Joyce Ndalichako amewataka wanachuo nchini kuipenda Nchi yao na kuwa mabalozi wazuri katika kuitetea na kutangaza kazi kubwa inayofanywa na serikali katika kuwatumikia watanzania.

Prof Ndalichako ameyasema hayo leo wilayani Kondoa Mkoani Dodoma wakati alipofanya ziara ya kutembelea Chuo Cha Ualimu Bustani kwa ajili ya kukagua maendeleo yake na kuzungumza na wanafunzi wake.

Akizungumza  baada ya kukagua miradi ya maendeleo...

 

10 years ago

Michuzi

ACACIA YAKUSANYA SHILINGI MILIONI 800 ZA KUSAIDIA SEKTA YA ELIMU, BAADA YA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO

 MKUU wa wilaya ya Tarime Mkoani Mara, Glorious Luoga, (Katikati), akinyanyua juu mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 800, baada ya kukabidhiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampouni ya Acacia, Brad Gordon, (kushoto), katika hafla fupi iliyofanyika kwenye lango la kushukia kutyoka kilele cha  Mlima Kilimanjaro, Mweka, Juni 28, 2015.  Fedha hizo ambazo ni kwa ajili ya kusaidia sekta ya eli kwa watoto kutoka familia duni, zimetokana na wafanyakazi wa Acacia na familia zao pamoja na...

 

10 years ago

Michuzi

TIMU YA WATU 21 YA KAMPUNI YA KUCHIMBA DHAHABU YA ACACIA WASHUKA KUTOKA MLIMA KILIMANJARO,WACHANGISHA MILIONI 800 KWA AJILI YA ELIMU TANZANIA.

Timu ya watu 21 ya wafanyakazi ,Ndugu na Marafiki wa Kampuni ya kuchimba dhahabu ya Acacia wakishuka kutoka mlima Kilimanjaro ambako walipanda kwa ajili ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia elimu.Afisa Mtendaji mkuu wa Kampuni ya uchimbaji wa Dhahabu ya Acacia,Brad Gordon akiwa na Meneja wa Ustawi wa kampuni Asa Mwaipopo wakifurahia mara baada ya kushuka toka kaika kilele cha Uhuru ambako watu 19 kati ya 21 ndio walifanikiwa kufika kileleni.Meneja wa Kitengo cha Mawasiliano na...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF AKABIDHI SHILINGI MILIONI NNE KWA AJILI YA UJENZI WA UWANJA WA MICHEZO WA TIMU YA FUJONI BOYS

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Vijana na wazee wa Fujoni Nyumba ya Ndege alipokwenda kutekeleza ahadi yake ya kusaidia ujenzi wa uwanja wa michezo wa Fujoni Boys (Highbury ).
Balozi Seif akimkabidhi fedha Taslim Shilingi Milioni 4,000,000/- Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kaskazini “ B “ Nd. Hilika Ibrahim kwa ajili ya matengenezo ya uwanja wa michezo wa Timu ya Soka ya Fujoni Boys.

Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi...

 

9 years ago

Dewji Blog

WHO yatoa dawa za milioni 42.2 ili kupambana na Kipindupindu nchini

unnamed

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dr. Donan Mmbando (katikati) akipokea msaada wa dawa za kuthibiti maambukizi ya kipindupindu kutoka kwa mwakilishi wa shirika la Afya Duniani (WHO) Dr. Rufaro Chatora(kulia). Kushoto ni Mganga Mkuu kutoka Wizara hiyo Dkt. Margaret Mhando.(Picha na Ally Daud).

Na Ally daud-Maelezo

Wizara ya Afya na Ustawi wa jamii imepokea msaada wa  dawa  za kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu nchini kutoka Shirika la Afya Duniani zenye thamani...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YA ZANZIBAR YAPOKEA SH.MILIONI AROBAINI ILI KUKABILIANA NA CORONA

     SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imeendelea kupokea Michango mbali mbali ya Fedha Taslim jumla ya Shilingi Milioni sabini {70,000,000/-} zilizotolewa na Taasisi tofauti Nchini kwa ajili ya kusaidia nguvu za Serikali katika Mapambano yake dhidi ya kupiga vita kuenea kwa Virusi vya Corona Nchini.
Michango hiyo imetolewa na Uongozi wa Benki ya NMB iliyokabidhi Shilingi Milioni 30,000,000/-, Benki ya Maendeleo Vijijini {CRDB} Shilingi Milioni 30,000,000/- pamoja na Uongozi wa Bodi ya...

 

10 years ago

GPL

MREMBO ALILIA MILIONI TANO ILI AWE KAMA ZAMANI

Stori: Imelda Mtema MSICHANA Zuhuru Juma (27) mkazi wa Temeke jijini Dar, ambaye mguu wake mmoja umevimba kiasi cha kufikisha uzito wa kilo 75 na kumsababishia maumivu makali, anahitaji kiasi cha shilingi 5,000,000  ili aweze kufanyiwa upasuaji nchini India. Msichana Zuhuru Juma (27) mkazi wa Temeke jijini Dar, ambaye mguu wake mmoja umevimba kiasi cha kufikisha uzito wa kilo 75. Uvimbe huo unaomfanya alie kila mara...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani