Tangawizi, Vanilla zahitajika nje -Tan Tanzania
WAKULIMA nchini wameshauriwa kuongeza uzalishaji wa mazao ya viungo hasa tangawizi na Vinilla na kuviongeza thamani kutokana na kuwapo kwa soko kubwa nchi za Ulaya. Pia kampuni za Ulaya zipo...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV13 Jan
Wakulima wa Tangawizi Same kunufaika kiuchumi
Na Zephania Renatus,
Same.
Tatizo la ukosefu wa barabara lililokuwa likiwakabili wakulima wa zao la Tangawizi kufikisha mazao yao kiwandani katika kata ya Mamba Myamba wilayani Same Mkoani Kilimanjaro huenda likamalizika mwishoni mwa mwezi Februari mwaka huu, baada ya serikali kwa kushirikiana na benki ya maendeleo ya afrika kutenga kiasi cha shilingi bilioni 2. ili kukamilisha ujenzi wa barabara hizo.
Barabara hizo mbili zenye urefu wa kilimota 13.9 zinazopita katika vijiji nne vya...
5 years ago
The African Exponent05 Mar
Why Vanilla Beans are the new “Superfoodâ€
9 years ago
Habarileo03 Dec
Mbunge agawa mbegu za tangawizi kukuza uchumi
MBUNGE wa Madaba, Songea Vijijini, Joseph Mhagama amesema njia rahisi ya kuwainua wananchi ni kutafuta mazao ambayo wakiuza yanaweza kutatua matatizo yao kwa haraka.
10 years ago
Vijimambo29 Jan
MIRIA KINUNDA NA UTENGENEZAJI WA SHURUBATI YA TANGAWIZI NA LIMAU
Modern Swahili Recipes For The West, cookbook is now Available at Amazon World-wide. Check Amazon in your country. Also in USA you can get at Walmart and Barnes and Noble Online or ask your nearest store. Now on sale at Amazon USA http://www.amazon.com/dp/0988735903/ Thank you Miriam Kinunda Author of Taste of Tanzania Cookbook
11 years ago
Daily News24 Sep
Zanzibar gets Vanilla Islands membership to boost tourism
Daily News
ZANZIBAR'S ongoing efforts to develop its tourism sector have received an astounding boost after the isles joined the Vanilla Islands group. Vanilla Islands, formed in 2010, is an affiliation of the island nations of Seychelles, Madagascar, La Reunion, ...
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Mwananchi09 Jan
Sh1.5/- trilioni zahitajika ukarabati wa reli ya kati
10 years ago
BBCSwahili11 Nov
MSF:Mbinu mpya zahitajika kukabili Ebola
11 years ago
Tanzania Daima21 Apr
Zaidi ya Mil. 500/- zahitajika sherehe za mwenge Kagera
MKUU wa Mkoa wa Kagera, Kanali mstaafu Fabian Massawe, amesema zaidi ya sh milioni 500 zinahitajika kukamilisha sherehe za kuwasha mwenge kitaifa, Mei 2, mwaka huu. Kanali Massawe aliwaomba wadau...