Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zaidi ya Mil. 500/- zahitajika sherehe za mwenge Kagera

MKUU wa Mkoa wa Kagera, Kanali mstaafu Fabian Massawe, amesema zaidi ya sh milioni 500 zinahitajika kukamilisha sherehe za kuwasha mwenge kitaifa, Mei 2, mwaka huu. Kanali Massawe aliwaomba wadau...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

DKT. BILAL AZINDUA SHEREHE ZA MBIO ZA MWENGE WA UHURU MKOANI KAGERA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasha Mwenge wa Uhuru wakati wa Sherehe za uzinduzi wa mbio za Mwenge huo zilizofanyika kwenye Uwanja wa Kaitaba, mjini Bukoba Mkoa wa Kagera leo Mei 2, 2014. Mwenge huo unatarajia kuitimisha mbio zake Oktoba 14 mkoani Tabora, ambapo zinatarajia kufungwa na mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete. Makamu wa Rais wa...

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA RASMI SHEREHE ZA MBIO ZA MWENGE WA UHURU MKOANI KAGERA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasha Mwenge wa Uhuru wakati wa Sherehe za uzinduzi wa mbio za Mwenge huo zilizofanyika kwenye Uwanja wa Kaitaba, mjini Bukoba Mkoa wa Kagera leo Mei 2, 2014. Mwenge huo unatarajia kuitimisha mbio zake Oktoba 14 mkoani Tabora, ambapo zinatarajia kufungwa na mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,...

 

9 years ago

Dewji Blog

Zaidi ya Mil 60 zilizotengwa kwa sherehe za miaka 50 ya Mkoa wa Singida kutumia kununulia vifaa tiba

IMG_1422

Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone, akitoa taarifa kwa waandishi wa habari juu ya kubadilisha matumizi ya zaidi ya shilingi 60.6 milioni zilizokuwa zigharamie sherehe ya maadhimisho ya mkoa huu kutimiza miaka 50 toka uanzishwe mwaka 1963, na sasa zitatumika kununulia vifaa tiba na vitendea kazi katika hospitali mpya ya rufaa ya mkoa. IMG_1426 IMG_1439 Meneja wa shirika lisilo la kiserikali la SEMA mkoani hapa, Ivo Manyaku, ameupongeza mkoa wa Singida kwa uamuzi wake wa kutumia shilingi 60.6...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwenge wa uhuru kuzinduliwa Kagera

MWENGE wa uhuru utazinduliwa Mei 2 mwaka huu mkoani Kagera ambapo miradi yenye thamani ya zaidi ya sh bilioni 14 itazinduliwa. Katika shughuli za uzinduzi huo utakaofanyika kwenye Uwanja wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Viapo kutafuna mil. 500/-

BUNGE Maalumu la Katiba litatumia zaidi ya sh milioni 500 kwa siku tatu kama posho za wajumbe ambao kwa siku hizo watakuwa wakifanya shughuli ya kuapa mmoja mmoja. Fedha hizo...

 

11 years ago

Habarileo

Siwa Bunge la Katiba mil. 500/-

SIWA mahususi inayotarajiwa kutengenezwa kwa ajili ya kutumika katika Bunge Maalumu la Katiba, mfano wake umeoneshwa leo huku baadhi ya wajumbe wakitaka suala la gharama litazamwe. Mjumbe Richard Ndassa ambaye ni Mbunge wa Sumve, alisema siwa hiyo yenye kilo 3.5 za dhahabu, gharama yake inaweza kuwa takribani Sh milioni 500 jambo linalopaswa kutazamwa.

 

11 years ago

Habarileo

Mil.500/- kujenga nyumba za walimu

SERIKALI imetenga Sh milioni 500 kwa halmashauri 41 nchini kwa ajili ya ujenzi wa nyumba bora za walimu. Rais Jakaya Kikwete aliwaambia wananchi wa Tanga, juzi wakati akihutubia Mkutano wa hadhara katika barabara ya Karume.

 

10 years ago

Michuzi

LOWASSA ARUDISHA FOMU ZA KUWANIA URAIS KUPITIA CHADEMA, ADHAMINIWA NA ZAIDI YA WANANZANIA ZAIDI YA MIL. 1.6

 Mtangaza nia ya kuwania nafasi ya Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akiwapungia maelfu ya wafuasi na wapenzi wa Chama hicho, wakati alipowasili kwenye Ofisi ya Makao Makuu ya Chama hicho, Kinondoni Jijini Dar es Salaam jioni ya leo. Mh. Lowassa alifika ofisini hapo kurudisha fomu za kuomba ridhaa ya Chama hicho, kuwania Urais kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu.Kulia kwake ni Mbunge wa...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Watakaochakachua mbolea kutozwa faini sh. mil. 500


NA SELINA WILSON,DODOMA
SERIKALI inakusudia kuongeza viwango vya adhabu ya faini kwa watakaochakachua mbolea kwa kuwatoza faini ya kati ya sh. milioni 100 na sh. milioni 500.
Pamoja na faini hiyo, mbolea itakayobainika kuchakuliwa na kuwa chini ya kiwango itateketezwa baada ya wakaguzi kuthibitisha kwamba imechakachuliwa.
Hayo yamo katika muswada wa marekebisho ya Sheria ya Mbolea sura namba 378  uliowasilishwa bungeni Jumatano wiki hii na kusomwa kwa mara ya kwanza.
Kwa mujibu wa muswada huo,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani