TANZANIA YAHIMIZA USHIRIKIANO KATIKAKUWASAIDIA WAKIMBIZI
![](http://4.bp.blogspot.com/-aYWWnrTYHnc/VfEBHervwhI/AAAAAAAB8g4/P2yB_TB7XXA/s72-c/U%2B1.jpg)
Balozi Tuvako Manongi akizungumza wakati wa Majadiliano ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu dhana ya kuwalinda raia (R2P) majadiliano yaliyojielekeza katika kutathimini mafanikio na changamoto za utekelezi wa dhana hiyo ikiwa ni miaka kumi tangu kuasisiwa kwake.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon, akizungumza wakati wa Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu dhana ya wajibu wa kuwalinda raia, ambapo alisema licha ya kuasisiwa kwa dhana hiyo dunia bado imeendelea...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziTANZANIA YAHIMIZA USHIRIKIANO KATIKA KUWASAIDIA WAKIMBIZI
9 years ago
Habarileo10 Sep
Tanzania yataka ushirikiano kusaidia wakimbizi
TANZANIA imetoa mwito kwa Jumuiya ya Kimataifa kushirikiana nayo katika wajibu wa kuwalinda na kuwapatia misaada ya kibinadamu, wakimbizi wanaokimbia machafuko, vita na migogoro katika nchi zao.
9 years ago
MichuziFNB TANZANIA YAHIMIZA WATANZANIA KUWEKA AKIBA ZAIDI
BENKI ya FNB Tanzania imetoa wito kwa Watanzania kujijengea mustakabali salama kifedha kwa kuendelea kuweka akiba zaidi benki kupitia fursa ya mpango mpya wa benki hiyo wa “Weka akiba na ushinde”.
Wito huo...
9 years ago
Dewji Blog09 Sep
Idadi ya Wakimbizi wa Burundi wanaohifadhiwa katika kambi ya Wakimbizi ya Nyarugusu yaongezeka
Wakimbizi kutoka nchini Burundi walioko katika kambi ya Nyarugusu wakiwa wamebeba shehena ya unga wa mahindi jana, muda mfupi baada ya kugawiwa chakula hicho Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia chakula (WFP), lililoweka kituo chake katika kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu wilayani Kasulu, mkoani Kigoma.(PICHA ZOTE NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI, WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI).
Mkimbizi kutoka nchini Burundi, Jacqueline Elulu (mwenye mtoto), akisubiri kupata huduma ya...
9 years ago
MichuziWAKIMBIZI WA BURUNDI WAONGEZEKA MAKAMBI YA WAKIMBIZI MKOANI KIGOMA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHIIdadi ya raia wa Burundi wanaoingia nchini kutafuta...
9 years ago
MichuziZOEZI LA KUWAPOKEA WAKIMBIZI KUTOKA BURUNDI LAENDELEA VIZURI KATIKA KAMBI YA WAKIMBIZI NYARUGUSU MKOANI KIGOMA
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-XxhH5g03vv8/VRrEKblJb6I/AAAAAAAHOls/g1T0e3kwuic/s72-c/unnamed%2B(7).jpg)
TANZANIA YAWASILISHA RIPOTI YA KAMATI YA WATALAAM WA FEDHA, UCHUMI, MIPANGO NA USHIRIKIANO WA KIKANDA KATIKA MKUTANO WA MAWAZIRI WA FEDHA, UCHUMI, MIPANGO NA USHIRIKIANO WA KIKANDA WA NCHI WANACHAMA WA AU NA EAC, JIJINI ADDIS ABABA NCHINI ETHIO
![](http://4.bp.blogspot.com/-XxhH5g03vv8/VRrEKblJb6I/AAAAAAAHOls/g1T0e3kwuic/s1600/unnamed%2B(7).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-AeIOCOaueNc/VRrEKiMEgOI/AAAAAAAHOlo/IqsGRxrpJ8o/s1600/unnamed%2B(8).jpg)
10 years ago
BBCSwahili15 Oct
Tanzania yawapa uraia wakimbizi
11 years ago
Dewji Blog11 Jul
Japani yasaidia Wakimbizi Tanzania
Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mh. Mathias Chikawe akisalimiana na Mkurugenzi Mkazi wa WFP nchini Bw.Richard Ragan (katikati) mara baaada ya kuwasili kwenye hafla fupi ya kukabidhi msaada wa dola za kimarekani milioni 1.4, kwa shirika la Chakula duniani (WFP) kwa ajili ya kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu mkoani Kigoma. Kulia ni Balozi wa Japan nchini, Mh. Masaki Okada.(Picha na Zainul Mzige wa MOblog)
Na Mwandishi wetu
Serikali ya Japan imetoa msaada wa dola za kimarekani...