Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania yaongoza biashara ya kusafirisha binadamu

TANZANIA inaongoza katika nchi za Afrika Mashariki kwa kufanya biashara haramu ya kusafirisha binadamu ambapo zaidi ya binadamu 300,000 wanasafirishwa ndani na nje ya nchi kwa mwaka, wengi wao wakiwa wasichana.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Biashara ya viungo vya binadamu Brazil

Viongozi wa mashitaka wanachunguza madai kuwa viungo vya miili vinatolewa kwa miili ya watu wasiojulikana na kuuzwa kwa ajili ya utafiti wa kimatibabu.

 

9 years ago

Michuzi

SEKRETARIETI YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA BIASHARA HARAMU YA BINADAMU YATOA SEMINA KWA WAANDISHI WA HABARI

Afisa Mwandamizi kutoka Sekretarieti ya kuzuia Usafirishaji Haramu wa Binadamu, Alex Lupiya akitoa mada kuhusu Dhana ya Usafirishaji Haramu wa Binadamu wakati wa semina kwa waandishi wa vyombo vya habari nchini iliyofanyika makao makuu ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Jijini Dar es Salaam. Afisa Uchunguzi Mkuu kutoka Tume ya Haki za Binadamu na Misingi ya Utawala Bora, Joshua Taramo akitoa mada kuhusu Mikakati ya Kuzuia Usafirishaji Haramu wa Binadamu wakati wa semina kwa waandishi wa...

 

5 years ago

Michuzi

SEKRETARIETI YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA BIASHARA HARAMU YA USAFIRISHAJI BINADAMU WAFANYA KIKAO CHA KUPENDEKEZA MAREKEBISHO YA SHERIA


Katibu wa Sekretarieti ya Kuzuia na Kupambana na Biashara Haramu ya Usafirishaji Binadamu, Seperatus Fella, akifafanua jambo kuhusu Sheria ya Kuzuia Biashara Haramu ya Usafirishaji wa Binadamu katika Kikao cha Wadau wa Sheria wa Wizara na Idara za serikali kwa ajili ya kupendekeza marekebisho ya Sheria hiyo, Kikao hicho kimefanyika, Jijini Dodoma leo.Katibu wa Sekretarieti ya Kuzuia na Kupambana na Biashara Haramu ya Usafirishaji Binadamu, Seperatus Fella (Wa kwanza...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tanzania yaongoza magonjwa ya saratani

TANZANIA ni miongoni mwa nchi masikini zinazoongozwa kwa kuwa na wagonjwa wengi wa saratani za mfumo wa chakula na ini ikilinganishwa na nchi zinazoendelea. Kauli hiyo ilitolewa jijini Dar es...

 

10 years ago

BBCSwahili

Yanga yaongoza ligi kuu Tanzania

Timu ya Yanga imepanda kileleni mwa ligi kuu ya Vodacom nchini Tanzania baada ya kuilaza Prisons 3-0 Alhamisi.

 

11 years ago

Habarileo

Tanzania yaongoza kuzalisha magadi soda

TANZANIA imetajwa kuwa miongoni mwa wazalishaji wakubwa wa magadi soda, yatakayoingizia taifa Sh bilioni 480 kwa mwaka.

 

10 years ago

Mwananchi

Tanzania yaongoza EAC kuvutia wawekezaji

Tanzania ni nchi ya kwanza kwa Afrika Mashariki katika kuvutia uwekezaji kutokana na sera iliyopo ikiwamo kudhibiti mfumuko wa bei.

 

11 years ago

Mwananchi

Tanzania yaongoza kuvutia mitaji A. Mashariki

Tanzania inaongoza kwa kuwa na mitaji mikubwa ya uwekezaji kutoka nje katika nchi za Afrika Mashariki, ripoti mpya imebainisha.

 

10 years ago

BBCSwahili

Yanga yaongoza ligi Tanzania Bara

Bao la nahodha Nadir Haroub “Cannavaro” lilitosha kuipa Yanga ushindi wa goli 1-0 dhidi ya wenyeji wao, Coastal Union

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani