Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania yaongoza kuzalisha magadi soda

TANZANIA imetajwa kuwa miongoni mwa wazalishaji wakubwa wa magadi soda, yatakayoingizia taifa Sh bilioni 480 kwa mwaka.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Magadi soda ni utajiri mwingine

Magadi soda ni raslimali ambayo tayari imefikiriwa inaweza kutoa ajira kwa maelfu ya watu nchini.

 

10 years ago

Mtanzania

Lowassa: Magadi soda yasigeuke laana Engaruka

Edward Lowassa

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa

NA ELIYA MBONEA, MONDULI

WAZIRI Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, amesema hatakubali kuona kiasi kikubwa cha magadi soda kilichogundulika katika Kijiji cha Engaruka Juu, kugeuka kuwa laana kwa wakazi wa eneo hilo. Hivyo aliwataka wakazi na wanavijiji wanaozunguka maeneo hayo kujipanga vizuri kuhusu jinsi ya kujiendesha kwa biashara kwa manufaa yao na taifa kwa ujumla. Mbunge huyo wa Monduli aliyasema hayo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Magadi soda kuingiza bil. 480/- kwa mwaka

SHIRIKA la Taifa la Maendeleo (NDC) limegudua kiasi kikubwa cha madini ya magadi soda katika Bonde la Engaruka, Wilaya ya Monduli, Arusha. Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa NDC, Abel Ngapemba,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Magadi soda kuliingizia taifa bil. 480/- kwa mwaka

TANZANIA inatarajia kuwa miongoni mwa wazalishaji wakubwa wa magadi soda duniani yatakayoingizia taifa kiasi cha dola za Marekani milioni 300 kwa mwaka,  sawa na sh bilioni 480. Pesa hizo ni...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Uchimbaji, uchakataji magadi soda kutoa fursa za ajira nchini

TANZANIA ni miongoni mwa nchi chache Afrika zilizobarikiwa utajiri wa rasilimali nyingi ambazo ni tegemeo kwa wananchi wake na serikali. Baadhi ya rasilimali tunazojivunia ni misitu, madini na mbuga za...

 

11 years ago

Michuzi

MAGADI SODA YAGUNDULIKA, KULIINGIZIA TAIFA SHILINGI BILIONI 480 KWA MWAKA

Meneja Uhusiano na Mawasiliano  wa Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) Bw. Abel Ngapemba akifanunua kwa waandishi umuhimu wa mradi wa uchimbaji magadi soda  katika mkutano na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Idara ya habari MAELEZO. Kushoto kwake ni Mhandisi wa mradi Godfrey Mahundi na mkuu wa kitengo cha viwanda vya Kemikali Mhandisi Abdallah Mandwanga. ----------------------------------------   Na Frank Mvungi-MAELEZO

 Tanzania ni miongoni  mwa...

 

11 years ago

TheCitizen

Explorers find more soda ash in Tanzania

More soda ash has been discovered in Tanzania: this time in the Engaruka Basin in Arusha. Already finds have been made in lakes Manyara and Natron.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani