Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANZANIA YASHIRIKI VYEMA KWENYE MAONESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA NA VIWANDA NDOLA ZAMBIA KUANZIA TAREHE 2 JULY HADI 8 JULY 2014

Balozi wa Tanzania nchini Zambia,Mh. Grace Mujuma akipatiwa maelezo na mmoja wa wafanyabiashara wajasiliamali kutoka nchini Tanzania ambao wanashiriki kwenye Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara na Viwanda yanayofanyika Mjini Ndola,Zambia. Sehemu ya wafanyabiashara wajasiliamali kutoka nchini Tanzania wakionyesha bidhaa zao kwenye Maonyesho hayo ya Kimataifa.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KINAMAMA WAJASIRIAMALI WATIA FORA KATIKA MAONESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA YA NDOLA, ZAMBIA

Tarehe 1 hadi 7 Julai 2015 kulikuwako maonyesho ya kibiashara yaliyofanyika mji wa Ndola. Kama ilivyo ada kwa Watanzania, walishiriki maonesho hayo na kutia fora kwa bidhaa zao mbalimbali. Kikundi cha Wajasiriamali kinachojulikana HOT kutoka Dar es Salaam kilishiriki kama kinvyoonekana kwenye picha mbali mbali wakiwa wamepiga picha na Balozi wetu wa Tanzania nchini Zambia Mhe. Grace J. Mujuma. Balozi alikwenda Ndola kuwaunga mkono. Balozi wa Tanzania nchini Zambia Mhe. Grace J. Mujuma...

 

10 years ago

Vijimambo

MAONESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA YA NDOLA

Tarehe 1 hadi 7 Julai 2015 kulikuwako maonyesho ya kibiashara yaliyofanyika mji wa Ndola. Kama ilivyo ada kwa Watanzania, walishiriki maonesho hayo. Kikundi cha Wajasiriamali kinachojulikana HOT kutoka Dar es Salaam kilishiriki kama kinvyoonekana kwenye picha mbali mbali wakiwa wamepiga picha na Balozi wetu wa Tanzania nchini Zambia Mhe. Grace J. Mujuma. Balozi alikwenda Ndola kuwaunga mkono.Tarehe 1 hadi 7 Julai 2015 kulikuwako maonyesho ya kibiashara yaliyofanyika mji wa Ndola. Kama ilivyo...

 

10 years ago

Michuzi

MAHAKAMA YA TANZANIA YASHIRIKI KATIKA MAONESHO YA 39 YA BIASHARA YA KIMATAIFA ‘SABASABA’ 2015

 Muonekano wa Banda la Mahakama ya Tanzania likiwa katika Viwanja vya Julius Nyerere maarufu kama Viwanja vya Sabasaba, Mahakama ya Tanzania inashiriki katika Maonesho haya lengo likiwa ni kutoa fursa kwa wananchi kupata elimu juu ya taratibu mbalimbali za Mahakama ikiwa ni pamoja na kutoa Malalamiko pamoja na kupokea maoni ya jinsi ya kuboresha huduma ya utoaji haki nchini. Banda la Mahakama lipo mkabala na Banda la Zanzibar ndani ya viwanja vya Sabasaba. Katika Maonesho ya mwaka huu,...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Armando Guebuze Wa Msumbiji afungua Maonyesho Biashara ya Kimataifa Mjinj Maputo,Tanzania yashiriki vyema

Pichani ni ndugu frank Mwega, Afisa wa Ubalozi anayeshughulikia masuala ya biashara na uchumi (Utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Diplomasia ya Kiuchumi) akimuwakilisha Mhe. Shamim Nyanduga, Balozi wa Tanzania, Mozambique akitoa maelezo kwa Mhe. Armando Emilio Guebuza, Rais wa Jamhuri ya Mozambique kuhusu masuala ya Vivutio vya Utalii na Bidhaa zinazo zalishwa na viwanda na wajasiriamali wa Tanzania kwenye banda la Tanzania wakati wa ufunguzi wa Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya Maputo...

 

11 years ago

Michuzi

NSSF YASHIRIKI MAONESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA-TANGA

 Muuguzi, Elionora Mmasi akiwapima wanachama wa NSFF waliotembelea banda lao wakati wa maonesho ya pili ya kibiashara yanayofanyika mkoani Tanga.

Baadhi ya watu waliofika katika banda la NSSF wakipata maelezo kutoka kwa maofisa wa Shirika hilo kuhusu Fao la Matibabu wakati wa maonesho ya pili wa kibiashara yanayofanyika mkoani Tanga.

 

10 years ago

Michuzi

AICC YASHIRIKI MAONESHO YA 39 YA KIMATAIFA YA BIASHARA YA DAR ES SALAAM (SABASABA)

Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC) kimeshiriki maonesho ya 39 ya kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba) ili kuelezea umma juu ya shughuli zake mbalimbali ikiwemo masuala ya uendeshaji wa mikutano. AICC ilielezea pia uwepo wa kituo chake cha Mikutano kwa Mkoa wa Dar es Salaam kijulikanacho kama Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC) chenye kumbi zenye uwezo wa kuhudumia wageni 10-1000. Mbali na masuala ya mikutano AICC pia iliweza kuwaelezea wadau...

 

11 years ago

Michuzi

WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA YASHIRIKI KIKAMILIFU MAONESHO YA WAKULIMA NANE NANE KITAIFA MKOANI LINDI

Naibu Katibu mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Maria Bilia akiwa anatembelea mabanda ya maonesho.

Naibu Katibu mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Maria Bilia akipiga picha ya pamojanaViongozi mbalimbali waserikali katika maonyesho ya Nanenane 2014, Lindi.
Naibu Katibu mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Maria Bilia akipokea zawadi baada ya kutembelea mabanda.Naibu Katibu mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Maria Bilia akiwa anatembelea mabanda ya wadau.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

5 years ago

CCM Blog

MAONESHO YA 44 YA KIMATAIFA YA BIASHARA KUANZA TAREHE 1-13 JULAI, 2020, UWANJA WA MWALIMU. J.K. NYERERE


Wizara ya Viwanda na Biashara kupitia Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) inapenda kuwataarifu Taasisi za Umma, Sekta Binafsi, Jumuiya za Wafanyabiashara na Wananchi wote kwa ujumla kuwa inaendelea na maandalizi ya Maonesho ya 44 ya Biashara ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam yanayotarajiwa kuanza tarehe 1 hadi 13 Julai, 2020 katika Uwanja wa Maonesho wa Mwl. J. K. Nyerere, Barabara ya Kilwa, Dar es Salaam. 
Lengo la Maonesho haya ni kutoa fursa ya kutafuta masoko ya...

 

11 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani