Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TASWIRA MSIBA WA MZEE SMALL

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete aungana na waombolezaji kwenye Msiba wa marehemu Mzee Said Ngamba “Mzee Small” Jijini Dar

16

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili kwenye Msiba wa msiba wa msanii maarufu wa filamu ya vichekesho hapa nchini,Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Small” nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam jana Juni 9, 2014.

17

_1

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa amejumuika na waombolezaji mbali mbali kwenye Msiba wa msanii maarufu wa filamu za vichekesho nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam jana.Kushoto ni Rais wa Chama cha Filamu nchini,Simon Mwakifwamba na...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AWAONGOMA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI KWENYE MSIBA WA MAREHEMU MZEE SAID NGAMBA "MZEE SMALL" JIJINI DAR LEO

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili kwenye Msiba wa msiba wa msanii maarufu wa filamu ya vichekesho hapa nchini,Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Small” nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam leo Juni 9, 2014. Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika dua wakati alipokwenda kuhani msiba wa msanii maarufu wa filamu vichekesho Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Small” nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam leo Juni 9, 2014. Rais Dkt Jakaya Mrisho...

 

11 years ago

GPL

TASWIRA KUTOKA MSIBANI KWA MZEE SMALL

Waombolezaji wakiwa na simanzi nyumbani kwa marehemu Said Ngamba 'Mzee Small' aliyefariki usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Taifa jijini Dar es Salaam. Dada ya marehemu Mzee Small, Sauda Ngamba akiwa na majonzi baada ya kuondokewa na kaka yake.…

 

11 years ago

GPL

MAZISHI YA MZEE SMALL

Mazishi ya gwiji la maigizo nchini, Said Ngamba 'Mzee Small' yaliyofanyika katika makaburi ya Tabata, Segerea jijini Dar Juni 9, 2014  na kuhudhuriwa na mamia ya watu. Awali Rais Jakaya Kikwete alifika nyumbani kwa marehemu,Tabata kutoa pole kwa familia ya Mzee…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mamia wamzika Mzee Small

MAMIA ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, jana jioni walijitokeza kwa wingi kumsindikiza gwiji wa vichekesho nchini, Said Ngamba ‘Mzee Small’ katika safari yake ya mwisho, ambapo alizikwa...

 

11 years ago

GPL

HISTORIA YA MAREHEMU MZEE SMALL

Marehemu Mzee Small akiwa na mkewe Bi. Fatuma. Jina lake ni Said Ngamba maarufu kwa jina la Mzee Small (58). Amezaliwa mwaka 1955. Alikuwa msanii mkongwe wa vichekesho na maigizo hapa Bongo. Mzee Small (kushoto) akiwavunja mbavu JB, Mzee Mbizo na Richie. Mzee Small alipata elimu ya msingi katika Shule ya Mingumbi huko Kilwa mkoani Pwani. Mbali na kuwa mkongwe, Mzee Small kila ulipozungumza naye alikuwa na kawaida ya kutamba...

 

11 years ago

GPL

JK MSIBANI KWA MZEE SMALL

Rais Jakaya Kikwete akiwasili nyumbani kwa marehemu Mzee Small eneo la Tabata, Mawenzi Dar kuwapa pole wafiwa. Kulia ni Rais wa TAFF, Simon Mwakifwamba. Msanii mkongwe wa maigizo, Mashaka akiwa msibani na Zamaradi Mketema.…

 

11 years ago

TheCitizen

Comical legislators beyond Mzee Small

The ‘smallness’ of the famous Tanzanian comedian, Saidi Wangamba, whose diminutive figure is what produced the nick-name ‘small’, reminds me of a joke related to a distinguished Tanzanian personality now in retirement.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani