Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TASWIRA YA KUTOKUWA NA AJIRA JIJINI DAR

Mwananchi ambaye jina lake halikufahamika, alinaswa na kamera yetu leo akiwa amelala fofofo Mtaa wa Garden Avenue, maeneo ya Posta. MWANANCHI  ambaye jina lake halikufahamika, alinaswa na kamera yetu leo akiwa amelala fofofo Mtaa wa Garden Avenue, maeneo ya Posta huku watu wakimpita na kuendelea na shughuli zao kama kawaida.  Haikujulikana iwapo mtu huyo alikuwa na matatizo yoyote au la. (Picha:Chande… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Taswira za mitaani jijini Dar

 Ajali ya Pikipiki na Taxi kama ilivyonaswa na Kamera yetu ya Mtaa kwa Mtaa jijini Dar es Salaam. Ohoooooo.......Ajali ya pikipiki na Tax katika barabara ya  Samora (Askari Moment) kama walivyonaswa na Kamera ya Mtaa kwa Mtaa jijini Dar es Salaam.Picha Zote na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii.

 

10 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALIMBALI JIJINI DAR

Hizi ni baadhi ya Taswira mbalimbali ndani ya jiji la Dar es Salaam.BOFYA HAPA KUONA TASWIRA ZAIDI

 

9 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALIMBALI JIJINI DAR LEO

 Kamera ya Mtaa kwa Mtaa yanasa muendesha Bajaji akivunja sheria kwa kupita pasipo ruhusiwa kupita, hii ni pamoja na kuharibu miondo mbinu ya Barabara ya  mabasi yaendayo haraka ya Morogoro (Strabag) jijini Dar es Salaam.Madereva wa magari haya mambayo yameshindwa kupishana kwa usahihi  wakielewana mara baada ya kugongana leo katika Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, kama walivyonaswa na kamera ya Mtaa kwa Mtaa.Mchana huo marekebisho ya hali ya tumbo yakiendelea katika sehemu ya chakula...

 

10 years ago

GPL

TASWIRA YA MVUA JIJINI DAR LEO

Namna hali ilivyo leo katika barabara ya Morogoro road eneo la Jangwani. Baadhi ya nyumba katika eneo la Kinondoni Mkwajuni jijini Dar zilizo bondeni zikiwa zimevamiwa na maji ya mvua.…

 

9 years ago

GPL

TASWIRA ZA UKAWA JANGWANI JIJINI DAR!

 Wananchi wakiwa kwenye Viwanja vya Jangwani jijini Dar. Wananchi wakiwa kwenye Viwanja vya Jangwani jijini Dar katika uzinduzi wa kampeni wa mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward…

 

11 years ago

GPL

TASWIRA YA VIKWANGUA ANGA JIJINI DAR

Ghorofa likiwa katika ujenzi maeneo ya Namanga-Dar.
Eneo  la Victoria.
Barabara…

 

11 years ago

Michuzi

10 years ago

GPL

TASWIRA ZA MKUTANO WA UKAWA JANGWANI JIJINI DAR

Wananchi walijitokeza katika mkutano wa Ukawa leo katika Viwanja vya Jangwani muda huu. Wananchi wakiendelea kuwasikiliza viongozi mbalimbali wa Ukawa hawapo pichani. (PICHA NA…

 

10 years ago

Michuzi

Taswira ya Ubungo jijini Dar es Salaam leo.

 Taswira ya kituo cha Simu 2000 Ubungo jijini Dar es Salaam leo baada ya mgomo wa madereva wa mabasi ya abiria.Picha zote na Avila Kakingo,Globu ya Jamii. Barabara ya Sam Nujoma eneo la Ubungo jijini Dar es Salaam leo. Licha ya mgomo wa madareva Miundombinu ya maji machafu hakuna katika kituo cha Mabasi Yaendayo mikoani cha Ubungo jijini Dar es Salaam.Hakuna kukanyaga maji ni kuruka mawe tuu. Mabasi yakiwa yameegeshwa katika Stendi kuu ya Mabasi yaendayo mikoani-Ubungo jijini Dar es Salaam...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani