Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TASWIRA ZA UKAWA JANGWANI JIJINI DAR!

 Wananchi wakiwa kwenye Viwanja vya Jangwani jijini Dar. Wananchi wakiwa kwenye Viwanja vya Jangwani jijini Dar katika uzinduzi wa kampeni wa mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

TASWIRA ZA MKUTANO WA UKAWA JANGWANI JIJINI DAR

Wananchi walijitokeza katika mkutano wa Ukawa leo katika Viwanja vya Jangwani muda huu. Wananchi wakiendelea kuwasikiliza viongozi mbalimbali wa Ukawa hawapo pichani. (PICHA NA…

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA UKAWA JANGWANI JIJINI DAR

Wananchi walijitokeza katika mkutano wa Ukawa leo katika Viwanja vya Jangwani muda huu.Wananchi wakiendelea kuwasikiliza viongozi mbalimbali wa Ukawa hawapo pichani.

 

9 years ago

Michuzi

UKAWA WALIPOZINDUA KAMPENI ZAO JANGWANI JIJINI DAR

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa pamoja na Mgombea mwenza, Mh. Juma Duni Haji wakiwasili kwenye viwanja vya Jangwani Jijini Dar es salaam, kulikofanyika Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za Chama hicho, leo Agosti 29, 2015. PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI. Umati wa wakazi wa Jijini Dar es salaam, ukiwa umefurika kwa wingi kwenye viwanja vya Jangwani kuwalaki Mgombea Urais wa Jamhuri ya...

 

9 years ago

Vijimambo

PICHA ZINGINE ZA UKAWA WAZINDUA KAMPENI ZAO JANGWANI JIJINI DAR LEO

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa pamoja na Mgombea mwenza, Mh. Juma Duni Haji wakiwasili kwenye viwanja vya Jangwani Jijini Dar es salaam, kulikofanyika Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za Chama hicho, leo Agosti 29, 2015. PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI.
 Umati wa wakazi wa Jijini Dar es salaam, ukiwa umefurika kwa wingi kwenye viwanja vya Jangwani kuwalaki Mgombea Urais wa Jamhuri ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Ukawa wazindua kampeni viwanja vya Jangwani Dar

Baada ya kusubiri kwa takribani wiki moja, hatimaye Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wazindua kampeni zao jijini Dar es Salaam leo.

 

9 years ago

CHADEMA Blog

MKUTANO WA MWISHO WA KAMPENI YA URAIS WA UKAWA KATIKA VIWANJA VYA JANGWANI DAR ES SALAAM.

Mgombea Urais kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA Ndugu Edward Ngoyai Lowassa akihutubia mamia ya wananchi waliohudhuria mkutano mkubwa wa kufunga kampeni za Urais uliofanyika katika viwanja vya Jangwani Dar es salaam. Pichani kutoka kushoto Mwenyekiti mwenza wa UKAWA Mh Freeman Mbowe, Mgombea Urais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Mh Edward Lowassa na Mgombea urais wa Zanzibar Mh

 

9 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA UFUNGUZI WA KAMPENI YA CCM JANGWANI JIJINI DAR

Umati wa wanachama wa CCM wakiwa katika mkutano huo.Screen kubwa iliyofungwa jukwaani kwa ajili ya kutoa matukio live kwa walio mbali.Bendera za CCM zikiwa zimezunguka uwanjani hapo.Wanachama wa CCM wakishangilia mara baada ya kuwasili Jangwani.Wana CCM wakiingia kwa mbwebwe uwanjani.Bango kubwa la mgombea urais kupitia CCM, John Magufuli likiwa pembezoni mwa viwanja vya Jangwani.Wanachuo mbalimbali wakiingia viwanja vya Jangwani.Msululu wa wanachama wa CCM wakiingia uwanjani.  Picha kwa...

 

11 years ago

GPL

HALI ILIVYO ENEO LA JANGWANI BAADA YA MVUA KUNYESHA JIJINI DAR

Hivi ndivyo maji yanavyo onekana kujaa katika makazi Jangwani Baadhi ya watu wakionekana nje baada ya maji kuingia ndani .…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani