Tazama jinsi Shirika la CAMFED Tanzania lilivyoadhimisha siku ya Wanawake Duniani
![](https://1.bp.blogspot.com/-Mbem6sg8JI0/XmqUY2cwYQI/AAAAAAALi2c/KNxKnLwiYS8xcNsYSbNxk-pUs9i_6_s2QCLcBGAsYHQ/s72-c/New%2BPicture%2B%25281%2529.png)
Wana CAMA ni mtandao wa wasichana waliofadhiliwa na shirika la CAMFED kupata elimu. Katika kudhimisha siku ya Wanawake Duniani wana CAMA walijumuika na wanawake wengine katika wilaya za Kilosa, Gairo, Morogoro, Ifakara, Kilombero, Kibaha, Chalinze, Rufiji, Kibiti, Kilolo, Handeni DC, Handeni TC, Iringa na Pangani, kuadhimisha siku hiyo kwa kishindo. Baadhi ya mabinti waliofadhiliwa na CAMFED (wana CAMA) kusoma ufundi wa magari katika chuo cha wananchi Handeni (Folk Development...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili03 Mar
Siku ya Wanawake Duniani: Jinsi wanawake wa vijijini wanavyoweza kubadilisha jamii kiuchumi wakiwezeshwa
5 years ago
BBCSwahili06 Mar
Siku ya wanawake Duniani: Ilikuwaje Machi 8 ikawa Siku ya Wanawake Duniani
5 years ago
MichuziWANAWAKE TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA (TCDC) WAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Picha ya Pamoja ya Wanawake wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika wakiwa tayari kwa ajili ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Jijini Dodoma
Picha ya Pamoja ya Wanawake wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika wakiwa tayari kwa ajili ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Jijini Dodoma
Wanawake wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika wakiwa na Bango la maandamano lenye Kauli mbiu ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani
Wanawake wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika wakiwa katika maandamano...
10 years ago
Dewji Blog09 Mar
Wanawake wa MSD washerehekea siku ya wanawake duniani kwa aina yake
Bw. Mwaifani akimkaribisha mgeni rasmi wa sherehe hizo, Bi.Helen Mwakipunda ambaye ni Mhasibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii.
Bi. Mwakipunda akizungumza na wafanyakazi wa (MSD) wakati wa sherehe hizo.
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya akina mama kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili, Matlida Ngarina aliyealikwa kwa ajili ya kutoa mada kuhusiana na magonjwa ya...
10 years ago
GPLWANAWAKE WA MCD WASHEREHEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KWA AINA YAKE
10 years ago
MichuziWanawake Wizara ya Mambo ya Nje washiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.
11 years ago
MichuziWanawake Mambo ya Nje washiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani
5 years ago
BBCSwahili08 Mar
Siku ya wanawake duniani 2020: Wanawake watoa wito wa usawa