Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Teknolojia kuwasaidia marefarii Brazil

Kombe la dunia la Brazil 2014 itakuwa tukio la kandanda lenye teknolojia kubwa zaidi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

KwanzaJamii

TEKNOLOJIA HII KUWASAIDIA MAREFARII BRAZIL

Je, unakumbuka bao la Frank Lampard mwaka 2010 kati ya Uingereza na Ujerumani lililokataliwa kuwa mpira haukupita laini ? Una maana gani kusema mpira haikuvuka laini? Najua unajiuliza ,lakini Kandanda ina matukio mengi ya ‘kama ingelifanyika hivi’ Ingelikuaje kama msimamizi wa laini angesema kuwa bao lake Geoff Hurst kwa Uingereza katika kombe la dunia mwaka wa 1966, halikua limeupita mstari wa lango? Je Ujerumani ya Magharibi wakati huo ingelinyakua kombe la dunia la mwaka huo ama Uingereza...

 

11 years ago

Michuzi

CHAMA CHA NGUMI ZA KULIPWA TPBC CHATOA MAFUNZO KWA MAREFARII

Mkufuzi wa mafunzo ya waamuzi wa mchezo wa masumbwi Ally Bakari 'Champion' kushoto akiwaelekeza baadhi ya marefarii waliojitokeza katika mafunzo hayo yaliyo andaliwa na chama cha ngumi za kulipwa TPBC yaliyoanza Ilala CCM Dar es salaam juzi na kumalizika jumamosi  hii Mkufuzi wa mafunzo ya waamuzi wa mchezo wa masumbwi Ally Bakari 'Champion' kulia akisisitiza jambo kwa wakati wa mafunzo hayo uku marefarii waliojitokeza wakimsikiliza kwa makini kutoka kushoto ni Kondo Nassoro, Sako Mtlya na...

 

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2014: Rio awatabiria akina Pogba kung’ara Brazil

Ferdinand, ambaye amestaafu kuchezea timu ya taifa, atakuwa mmoja wa wachambuzi wa michuano hiyo ya mwaka huu inayoanza wiki hii.

 

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2014: PIGO LA KARNE: Majonzi, vilio kila kona Brazil

>Vilio, majonzi vilitawala kila ni kona ya Brazil baada ya kupokea kipigo cha mbwa mwizi cha mabao 7-1kutoka kwa Ujerumani katika nusu fainali ya kwanzajana kwenye Uwanja wa Mineirao.

 

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2014: Brazil yakata rufaa kadi za njano za Thiago Silva

>Brazil imekata rufaa juu ya adhabu ya kukosa mchezo mmoja kwa nahodha wake, Thiago Silva mwenye kadi mbili za njano, ambazo zinamaanisha atalazimika kukosa mchezo wa leo dhidi ya Ujerumani.

 

11 years ago

TheCitizen

BRAZIL 2014: Brazil face Chile as Suarez-less Uruguay confront Colombia

>From 32, it’s down to the last 16. Here there are no second chances. It is win or bust.

 

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2014: Gustavo pigo kwa Brazil dhidi ya Colombia leo

Licha ya kuwa Neymar ndiye mchezaji anayetajwa zaidi na kuonekana msaada mkubwa katika kikosi cha Brazil, pia uwepo wa Oscar, Thiago Silva na David Luiz unaonekana kuwa muhimu uwanjani.

 

11 years ago

TheCitizen

BRAZIL 2014: Brazil, where soccer, beauty and carnival rule supreme

>Two years ago during the London 2012 Olympics, an Italian journalist made what he termed an ‘easy decision’ by foregoing an event involving his country’s athlete, an athletics event he was under obligation to cover for his media house, to rush to the Horse Guards Parade to watch the Brazilian beach volleyball team. The emphasis here is on the female team.

 

11 years ago

Mwananchi

Brazil 2014: Neymar, Oscar waipamba Brazil mechi ya ufunguzi

Mabao mawili ya Neymar na moja la Oscar yametosha kuwapa wenyeji wa Kombe la Dunia, Brazil ushindi mnono wa 3-1 dhidi ya Croatia, katika mchezo wa kufungua wa mashindano hayo jana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani