TEKNOLOJIA HII KUWASAIDIA MAREFARII BRAZIL
Je, unakumbuka bao la Frank Lampard mwaka 2010 kati ya Uingereza na Ujerumani lililokataliwa kuwa mpira haukupita laini ? Una maana gani kusema mpira haikuvuka laini? Najua unajiuliza ,lakini Kandanda ina matukio mengi ya ‘kama ingelifanyika hivi’ Ingelikuaje kama msimamizi wa laini angesema kuwa bao lake Geoff Hurst kwa Uingereza katika kombe la dunia mwaka wa 1966, halikua limeupita mstari wa lango? Je Ujerumani ya Magharibi wakati huo ingelinyakua kombe la dunia la mwaka huo ama Uingereza...
KwanzaJamii
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili10 Jun
Teknolojia kuwasaidia marefarii Brazil
11 years ago
BBCSwahili04 Apr
Katika Teknolojia wiki hii:
11 years ago
Michuzi26 Jul
CHAMA CHA NGUMI ZA KULIPWA TPBC CHATOA MAFUNZO KWA MAREFARII
10 years ago
GPLCHONDE CHONDE WATUMIAJI WA INTERNETI TUMIENI TEKNOLOJIA HII KUPATA MAARIFA
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-EuEwy-IsCS0/VNogBBqzwRI/AAAAAAAHC28/vSsU0DTtYRo/s72-c/unnamed.jpg)
CHONDE CHONDE WATUMIAJI WA INTERNETI TUMIENI TEKNOLOJIA HII KUPATA MAARIFA-VODACOM TANZANIA
![](http://4.bp.blogspot.com/-EuEwy-IsCS0/VNogBBqzwRI/AAAAAAAHC28/vSsU0DTtYRo/s1600/unnamed.jpg)
9 years ago
MillardAyo28 Dec
Hii ndio klabu iliyotangaza kumsajili staa wa soka wa Brazil Ronaldinho …
Staa wa soka wa kimataifa wa Brazil ambaye amewahi kukipiga katika vilabu kadhaa vya soka barani Ulaya, ikiwemo FC Barcelona ya Hispania na AC Milan ya Italia Ronaldinho amerudi katika headlines jioni ya December 28. Baada ya klabu ya Racing Club de Montevideo ya Uruguay kutangaza kumsajili Ronaldinho. Mkali huyo wa soka wa Brazil ambaye amewahi […]
The post Hii ndio klabu iliyotangaza kumsajili staa wa soka wa Brazil Ronaldinho … appeared first on TZA_MillardAyo.
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-fzUPRwo5iXM/Uw3tYANqIrI/AAAAAAACbK8/HU-u-WX-LHg/s72-c/3rd+Draw+-+pic....1.jpg)
WAWILI WATANGAZWA WASHINDI WA PROMOSHENI YA WINDA SAFARI YA BRAZIL WIKI HII
![](http://4.bp.blogspot.com/-fzUPRwo5iXM/Uw3tYANqIrI/AAAAAAACbK8/HU-u-WX-LHg/s1600/3rd+Draw+-+pic....1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-D-LKuqYZVu0/Uw3tZVn0YZI/AAAAAAACbLE/nuvr2fVlpzU/s1600/3rd+Draw+-+pic....9.jpg)
5 years ago
MillardAyo10 Mar
Hii ndio first eleven ya Brazil Kombe la Dunia 2018, Firmino na Silva Out !!!
11 years ago
TheCitizen28 Jun
BRAZIL 2014: Brazil face Chile as Suarez-less Uruguay confront Colombia