Katika Teknolojia wiki hii:
Kampuni ya Amazon imezindua televisheni yake inayotumia Internet. Imeundwa kushindana na kampuni za Apple na Google.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziTANZANIA KATIKA UMOJA WA MATAIFA WIKI HII
Mkurugenzi wa Idara ya Masuala ya Sheria, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Irene Kasyanju akiwa na Kanali, Dkt. Edward Masalla kutoka Jeshi wa Wananchi wa Tanzania ( JWTZ) na Afika Mkuu wa Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa Bw. Abdalla Khamis, timu hii ndiyo iliyoiwakilisha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mkutano wa Marejeo wa Mkataba wa Silaha za Nyukilia (NP 2015) mkutano huu ambao kwa kawaida hufanyika kwa wiki nne...
11 years ago
MichuziKatika "HUYU NA YULE" ya NJE-NDANI wiki hii...
Photo Credits: Bongo Celebrity
Katika NJE NDANI wiki hii, mbali na habari kutoka Afrika, utasikia mahojiano yangu na NURU THE LIGHT.
Msanii, Mjasiriamali, Mtangazaji, Blogger na Mwanaharakati ambaye amekuwa mkarimu sana kujiunga nami kutoka Stockholm Sweden
Kazungumza mengi mema
Jiunge nami, MUBELWA BANDIO Jumamosi (June 28) katika NJE NDANI ya Kwanza Production na Border Radio kuanzia saa sita mpaka saa nane mchana kwa saa za Marekani ya mashariki kupitia www.kwanzaproduction.com ama...
9 years ago
GPL05 Oct
11 years ago
Michuzi10 years ago
Michuzimafunzo ya wiki moja ya matumizi ya teknolojia ya mawasiliano na mitandao ya kijamii
Mjumbe wa Bodi ya Utendaji wa Kituo cha Ushirikiano wa kilimo na Maendeleo Vijijini cha nchi za Umoja wa Ulaya, Afrika, Karebiani na Pasifiki (CTA), ProfesaFaustin Kamuzora akisisitiza jambo wakati wa ufunguzi rasmi wa mafunzo ya wiki moja ya matumizi ya teknolojia ya mawasiliano na mitandao ya kijamii kwa wadau toka taasisi mbalimbali nchini jana jijini Dar es Salaam. Mafunzo hayo yanaendeshwa na CTA na Taasisi ya Nafaka ya Afrika ya Mashariki (EAGI).
11 years ago
MichuziWIKI TATU KUELEKEA FAINALI YA SHINDANO LA TANZANIA MPVIE TALENTS (TMT), WASHIRIKI WENGINE WAWILI WAAGA SHINDANO WIKI HII
Waendeshaji wa Show ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) Joti na Lulu wakiwa kwa steji, tayari kwa kuendelea na show hiyo iliyofanyika katika Ukumbi wa Mkaumbusho ya Taifa Jijini Dar Es Salaam. Mshiriki Ally Kiwendo ambae alikuwa ni mmoja kati ya washindi watatu kutoka kanda ya Kusini mkoani Mtwara akitoa maneno ya shukrani kwa Kampuni ya Proin Promoitons ambao ndio waandaaji na waendeshaji wa Shindano la TMT mara baada ya kutangazwa kuaga shindano hilo kutokana na Kura kuwa chache,...
11 years ago
KwanzaJamii11 Jun
TEKNOLOJIA HII KUWASAIDIA MAREFARII BRAZIL
Je, unakumbuka bao la Frank Lampard mwaka 2010 kati ya Uingereza na Ujerumani lililokataliwa kuwa mpira haukupita laini ?
Una maana gani kusema mpira haikuvuka laini?
Najua unajiuliza ,lakini Kandanda ina matukio mengi ya ‘kama ingelifanyika hivi’ Ingelikuaje kama msimamizi wa laini angesema kuwa bao lake Geoff Hurst kwa Uingereza katika kombe la dunia mwaka wa 1966, halikua limeupita mstari wa lango?
Je Ujerumani ya Magharibi wakati huo ingelinyakua kombe la dunia la mwaka huo ama Uingereza...
11 years ago
Michuzi22 Apr
10 years ago
Habarileo18 Nov
Mabadiliko ya Ma-DC wiki hii
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ametangaza kuwa ndani ya wiki hii, atafanya mabadiliko ya uongozi katika ngazi mbalimbali za utawala katika Wilaya ya Kiteto, Manyara, ambayo huenda yakagusa maeneo mengine nchini.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania