Tetesi za soka Ulaya 12.03.2020: Kane, Sancho, Ramsdale, Sabitzer, Willian, Militao
Manchester City na Manchester United itashindana na Tottenham katika kumwania mshambuliji Harry Kane, 26, kwa dau la £150m mwisho wa msimu huu (90min)
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili05 Mar
Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi 05.03.2020: Kane, Stones, Werner, Angelino, Bellingham, Willian, Rakitic
Harry Kane hana mpango wa kusaini mkataba mwingine na Tottenham.
5 years ago
BBCSwahili24 May
Tetesi za soka Ulaya Jumapili 24.05.2020: Pogba, Sancho, Aguero, Willian, Koulibaly, Rabiot
Wakala wa Paul Pogba Mino Raiola ameanza mazungumzo na Juventus kuhusu uhamisho, lakini Real Madrid na Paris St-Germain pia wanamtolea macho kiungo huyo wa Machester United
5 years ago
BBCSwahili24 Apr
Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa 24.04.2020: Werner, Willian, Sancho, Vertonghen, Dalot, Coutinho
Manchester United wanafikiria kumuuza mchezaji wa nafasi ya ulinzi Diogo Dalot, 21, kwenda PSG.
5 years ago
BBCSwahili23 May
Tetesi za soka Ulaya Jumamosi 23.05.2020: Coutinho, Willian, Haaland, Sancho, Pochettino, Kavertz
Baada ya kutaka kurejea ligi ya Primia sasa Philippe Coutinho wa Kiungo wa kati wa Barcelona na Brazil anamezewa mate na timu kadhaa
5 years ago
BBCSwahili21 Apr
Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 21.04.2020: Kane, Sancho, Mbappe, Partey, Aubameyang
Wacheza kamari wanaipigia chapuo zaidi United kumsaini Kane pamoja na Sancho,20.
5 years ago
BBCSwahili17 Jun
Tetesi za soka Ulaya Jumanne 17.06.2020: Willian, Sancho, Bale, Allan, Silva, Dembele, Werner
Manchester United imeonesha nia ya kumtaka Willian, Everton ikiendeleza azma yake ya kumsaka mchezaji wa Napoli Allan na mengine mengi.
5 years ago
BBCSwahili12 Apr
Tetesi za Soka Ulaya Jumapili 12.04.2020: Kane, Martinez, Sancho, Upamecano, Kamara, Matic
Uefa inatarajia kukamilisha msimu huu wa michuano ya Klabu Bingwa Ulaya na Ligi ya Europa mwezi Agosti kwa kutumia kipindi cha wiki tatu.
5 years ago
BBCSwahili06 Apr
Tetesi za soka Ulaya Jumatatu 06.04.2020: Harry Kane, Jadon Sancho, Alfredo Morelos, Alexis Sanchez
Mshambuliaji wa Borussia Dortmund na England Jadon Sancho, 20, amekataa uhamisho wa kuelekea Manchester United mwisho wa msimu huu
5 years ago
BBCSwahili27 May
Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 27.05.2020: Coutinho, Shaqiri, Willian, Palhinha
Newcastle imeanza mazungumzo ya kumsajili kiungo wa kati wa Barcelona Philippe Coutinho, 28, baada ya Bayern Munich kubadili nia ya kumpatia mkataba wa kudumu nyota huyo wa kimataifa wa Brazil. (Mundo Deportivo - in Spanish)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania