Tetesi za soka Ulaya Alhamisi 13.02.2020: Ighalo, Werner, Coutinho, Sancho, Saka, Ramsey, Slimani
Mshambuliaji wa Manchester United Odion Ighalo, 30, amepigwa marufuku katika uwanja wa mazoezi wa klabu hiyo kutokana na hofu ya hatari ya maambukizi ya virusi vya .(Mirror)
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili28 May
Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi 28.05.2020: Traore, Ighalo, Luiz, Werner, Tagliafico, Manquillo
Mshambuliaji wa Nigeria Odion Ighalo, 30, ametoa ombi la kibinafsi kwa klabu ya china ya Shanghai Shenhua, la kutaka kurefusha mkataba wake wa mkopo Manchester United. (Manchester Evening News)
5 years ago
BBCSwahili24 Apr
Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa 24.04.2020: Werner, Willian, Sancho, Vertonghen, Dalot, Coutinho
Manchester United wanafikiria kumuuza mchezaji wa nafasi ya ulinzi Diogo Dalot, 21, kwenda PSG.
5 years ago
BBCSwahili22 Apr
Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 22.04.2020: Coutinho, Sancho, Werner, Bale, Karius, Jimenez
Kiungo wa Monaco Cesc Fabregas, 32 , amedokeza mpango wa kuhamia LIgi kuu ya Soka Marekani, akisema yeye ni mpenzi wa ligi hiyo.
5 years ago
BBCSwahili20 Feb
Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi 20.02.2020: Messi, Sancho, Werner, Jesus, Icardi, Kai Havertz,
Timo Warner asema huenda hayupo tayari kujiunga na Liverpool licha ya kuisifu kuwa "timu nzuri zaidi duniani."
5 years ago
BBCSwahili05 Apr
Tetesi za soka Ulaya Jumapili 05.04.2020:Coutinho, Slimani, Fraser, Lingard
Arsenal wanaimani kubwa ya kufikia makubaliano ya kumsajili winga wa Bournemouth, Ryan Fraser, 26, mkataba wake utakapomalizika msimu huu.
5 years ago
BBCSwahili16 Feb
Tetesi za soka Ulaya Jumapili 16.02.2020: Pogba, Rabiot, Ramsey, Pierre-Emerick Aubameyang, Werner, Tierney
Juventus inapanga kuwatoa Aaron Ramsey na Adrien Rabiot kwa Manchester United kujaribu kumrejesha mchezaji wa kimataifa wa Ufaransa Paul Pogba
5 years ago
BBCSwahili14 Jun
Tetesi za soka Ulaya Jumapili 14.06.2020: Sancho, Werner, Arrizabalaga, Upamecano, Jorginho
Kocha wa Borussia Dortmund Sebastian Kehl ametupilia mbali uvumi wa kwamba Jadon Sancho huenda akahamia Liverpool msimu huu.
5 years ago
BBCSwahili03 Mar
Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 03.03.2020: Pogba ,Sancho, Werner, Holgate, Lozano,Sturridge
Kiungo wa kati wa Ufaransa Paul Pogba, 26, atarejea katika mazoezi ya kikosi cha kwanza Manchester United wiki hii na anapania kubuni ushirikiano uwanjani na Bruno Fernandes aliyejiunga na klabu hiyo Januari.
5 years ago
BBCSwahili02 Apr
Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi 02.04.2020: Belligham, Braithwaite, Sancho, Meunier
Mshambuliaji wa England Marcus Rashford amekiri kuwa anatamani sana kucheza na mshambuliaji mwenzake wa Borussia Dortmund Jadon Sancho.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania