Tetesi za soka Ulaya Jumapili 05.04.2020:Coutinho, Slimani, Fraser, Lingard
Arsenal wanaimani kubwa ya kufikia makubaliano ya kumsajili winga wa Bournemouth, Ryan Fraser, 26, mkataba wake utakapomalizika msimu huu.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili03 May
Tetesi za soka Ulaya Jumapili 03.05.2020: De Bruyne, Sanchez, Coutinho, Jovic, Suarez, Lingard
Kiungo wa kati wa Ubelgiji Kevin De Bruyne , 28 amesema kwamba huenda akaondoka Manchester City iwapo marufuku yao itaidhinishwa.(HLN, via Manchester Evening News)
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Tetesi za soka Ulaya Alhamisi 13.02.2020: Ighalo, Werner, Coutinho, Sancho, Saka, Ramsey, Slimani
Mshambuliaji wa Manchester United Odion Ighalo, 30, amepigwa marufuku katika uwanja wa mazoezi wa klabu hiyo kutokana na hofu ya hatari ya maambukizi ya virusi vya .(Mirror)
5 years ago
BBCSwahili29 Mar
Tetesi za soka Ulaya Jumapili 29.03.2020: Valverde, Simeone, Coutinho
Manchester United itatakiwa kulipa pauni milioni 450 kwa Real Madrid iwapo watasaini mkataba na kiungo wa kati wa Uruguay Federico Valverde. (Sunday Mirror)
5 years ago
BBCSwahili22 Mar
Tetesi za Soka Ulaya Jumapili 22.03.2020: Alisson, Philippe Coutinho, Virgil van Dijk, Jadon Sancho, Neymar
Chelsea, Manchester United, Arsenal na Tottenham zinamwania kiungo wa kati wa Barcelona na Brazil Philippe Coutinho, 27, ambaye anataka kurejea katika ligi ya premia. (Mirror)
5 years ago
BBCSwahili11 Jun
Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi 11.06.2020: Sancho, Zaha, Bertrand, Fraser, Cazorla,
Borussia Dortmund itahitaji kulipwa pauni milioni 115 ili kumuuza mchezaji wa England mwenye umri wa miaka 20 Jadon Sancho. (Telegraph)
5 years ago
BBCSwahili29 May
Tetetsi za Soka Ulaya Ijumaa 29.05.2020: Lallana, Coutinho, Bale, Fraser, Sidibe, Ighalo, Sancho
Leicester wamempatia kiungo wa kati wa Liverpool Adam Lallana, ofa ya mkataba wa kudumu. Mkataba wa kiungo huyo wa kimataifa wa England, Anfield unakamilika mwisho wa mwezi Juni. (Football Insider)
5 years ago
BBCSwahili04 Jun
Tetesi za soka Ulaya Alhamisi tarehe 04.06.2020: Sancho, Dembele, Rojo, Neymar, Fraser
Real Madrid wanapendelea kumsajili winga wa Borussia Dortmund Jadon Sancho,20. (AS)
5 years ago
BBCSwahili07 Apr
tetesi za soka Ulaya Jumanne 07.04.2020: Sancho, Martinez, Traore, Lingard, Giroud
Barcelona wanataka kumsajili mshambuliaji wa Argentina Lautaro Martinez, 22, kutoka klabu ya Inter Milan lakini wanakabiliana na ushindani mkali kutoka kwa Real Madrid na Manchester City. (Marca)
5 years ago
BBCSwahili26 Feb
Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 26.02.2020: Lingard, Pereira, Grealish, Aubameyang, Guardiola
Rais wa klabu ya Juventus Andrea Agnelli amesema klabu inataka kumchukua kocha wa Manchester City Pep Guardiola.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania