Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tetetsi za Soka Ulaya Ijumaa 29.05.2020: Lallana, Coutinho, Bale, Fraser, Sidibe, Ighalo, Sancho

Leicester wamempatia kiungo wa kati wa Liverpool Adam Lallana, ofa ya mkataba wa kudumu. Mkataba wa kiungo huyo wa kimataifa wa England, Anfield unakamilika mwisho wa mwezi Juni. (Football Insider)

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 13.05.2020: Bale, Ndombele, Sancho, Ighalo, Pogba, Messi

Newcastle wako tayari kutumia £53m kumpata mshambuliaji wa Real Madrid, Gareth Bale, 30, mpango ambao ukifanikiwa utamrejesha ntota huyo katika ligi kuu ya England msimu huu

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 22.04.2020: Coutinho, Sancho, Werner, Bale, Karius, Jimenez

Kiungo wa Monaco Cesc Fabregas, 32 , amedokeza mpango wa kuhamia LIgi kuu ya Soka Marekani, akisema yeye ni mpenzi wa ligi hiyo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Alhamisi 13.02.2020: Ighalo, Werner, Coutinho, Sancho, Saka, Ramsey, Slimani

Mshambuliaji wa Manchester United Odion Ighalo, 30, amepigwa marufuku katika uwanja wa mazoezi wa klabu hiyo kutokana na hofu ya hatari ya maambukizi ya virusi vya .(Mirror)

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Ijumaa 8.5.2020: Coutinho, Koulibaly, Sancho, Icardi, Aubameyang

Newcastle inataka kumsajili beki wa kati wa Napoli na Senegal Kalidou Koulibaly

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa 01.05.2020: Grealish, Sancho, Fekir, Coutinho, Moses, Semedo

Real Madrid na Barcelona wamejiunga na kinyang'anyiro cha kumsajili winga wa Borussia Dortmund na England Jadon Sancho

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa 24.04.2020: Werner, Willian, Sancho, Vertonghen, Dalot, Coutinho

Manchester United wanafikiria kumuuza mchezaji wa nafasi ya ulinzi Diogo Dalot, 21, kwenda PSG.

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi 11.06.2020: Sancho, Zaha, Bertrand, Fraser, Cazorla,

Borussia Dortmund itahitaji kulipwa pauni milioni 115 ili kumuuza mchezaji wa England mwenye umri wa miaka 20 Jadon Sancho. (Telegraph)

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Jumapili 05.04.2020:Coutinho, Slimani, Fraser, Lingard

Arsenal wanaimani kubwa ya kufikia makubaliano ya kumsajili winga wa Bournemouth, Ryan Fraser, 26, mkataba wake utakapomalizika msimu huu.

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Alhamisi tarehe 04.06.2020: Sancho, Dembele, Rojo, Neymar, Fraser

Real Madrid wanapendelea kumsajili winga wa Borussia Dortmund Jadon Sancho,20. (AS)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani