tetesi za soka Ulaya Jumanne 07.04.2020: Sancho, Martinez, Traore, Lingard, Giroud
Barcelona wanataka kumsajili mshambuliaji wa Argentina Lautaro Martinez, 22, kutoka klabu ya Inter Milan lakini wanakabiliana na ushindani mkali kutoka kwa Real Madrid na Manchester City. (Marca)
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili14 Mar
Tetesi za soka Ulaya Jumamosi 14.03.2020: Liverpool, Jota, Gomes, Martinez, Cherki, Giroud
Huenda Liverpool ikachukua taji la ligi ya Premier licha ya kwamba michuano imeahirishwa.
5 years ago
BBCSwahili15 Feb
Tetesi za soka Ulaya Jumamosi 15.02.2020: Isco, Pogba, Aubameyang, Giroud, Maddison, Traore
Paul Pogba anataka kuondoka Man United mwisho wa msimu huu lakini fursa ya mchezaji huyo kuondoka vizuri katika klabu hiyo huenda zikaathiriwa na hatua ya klabu hiyo kuomba kulipwa £83m ili kumuuza nyota huyo (Guardian)
5 years ago
BBCSwahili10 Mar
Tetesi za soka Ulaya Jumanne 10.03.2020: Grealish, Bellingham, Lingard, Willian, Zakaria, Aguero
Manchester United inapanga uhamisho wa dau la £100m kumsajili kiungo wa kati wa Aston Villa mwisho wa msimu huu Jack Grealish, 24, na kinda wa Birmingham 16- Jude Bellingham. (Star)
5 years ago
BBCSwahili12 Apr
Tetesi za Soka Ulaya Jumapili 12.04.2020: Kane, Martinez, Sancho, Upamecano, Kamara, Matic
Uefa inatarajia kukamilisha msimu huu wa michuano ya Klabu Bingwa Ulaya na Ligi ya Europa mwezi Agosti kwa kutumia kipindi cha wiki tatu.
5 years ago
BBCSwahili17 Mar
Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 17.03.2020: Mahrez, Umtiti, Dembele, Telles, Martinez
Manchester City itazuia uhamisho wa winga wa Algeria Riyad Mahrez, 29, wa kujiunga na Paris St-Germain msimu wa joto. (Goal)
5 years ago
BBCSwahili23 Jun
Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 23.06.2020: Jimenez, Martinez, Kurzawa, Arteta, Koulibaly, Vertonghen
Barcelona imehusishwa na usajili wa mshambuliaji wa Inter Milan Lautaro Martinez 22 lakini afisa mkuu mtendaji wa klabu hiyo Giuseppe Marotta anasema kwamba mchezaji huyo wa Argentina hajakuwa na hamu ya kutaka kuondoka ". (Sky Sports Italia, via Mail)
5 years ago
BBCSwahili19 May
Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 19.05.2020: Havertz, Higuain ,Martinez, Koulibaly, Silva, Lazaro
Wolves wameongeza mkataba wa mlinda mlango wa kiingereza John Ruddy,33, kwa mwaka mmoja zaidi.
5 years ago
BBCSwahili21 Apr
Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 21.04.2020: Kane, Sancho, Mbappe, Partey, Aubameyang
Wacheza kamari wanaipigia chapuo zaidi United kumsaini Kane pamoja na Sancho,20.
5 years ago
BBCSwahili14 Apr
Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 14.04.2020: Mbappe, Haaland, Sancho, Torres, Ighalo, Onana
Real Madrid wana mpango wa kumsajili mshambuliaji wa Norway Erling Braut Haaland, 19, kutoka Borussia Dortmund mwaka huu.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania