Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa 15.05.2020: Silva, Matondo, Lewandowski, Coutinho, Mertens, Adams, Foyth
Mkataba wa David Silva, 34, kwa Manchester City unakamilika Juni 30 lakini Mhispania huyo anayecheza safu ya kati,yuko tayari kuongeza mkataba huo hadi mwisho wa msimu, kabla ya kufunganya virago
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili08 May
Tetesi za soka Ulaya Ijumaa 8.5.2020: Coutinho, Koulibaly, Sancho, Icardi, Aubameyang
Newcastle inataka kumsajili beki wa kati wa Napoli na Senegal Kalidou Koulibaly
5 years ago
BBCSwahili10 Apr
Tetesi za soka Ulaya Ijumaa 10.04.2020: Messi, Grealish, Mbappe, Pedro, Coutinho
Mshambuliaji wa Barcelona na Argentina Lionel Messi, 32, amekanusha kwa kupitia mitandao ya kijamii ripoti kuwa ana mpango wa kuhamia klabu ya Inter Milan. (Instagram)
5 years ago
BBCSwahili19 Jun
Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa 19.06.2020 Luiz, Kante, Havertz, Sanchez, Coutinho, Dyche
Hatma ya Luiz wa Arsenal itafahamika mwisho wa juma hili, huku Inter Milan ikiwa kwenye mazungumzo ya kuongeza mkataba wa Sanchez ambaye yuko kwa mkopo
5 years ago
BBCSwahili01 May
Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa 01.05.2020: Grealish, Sancho, Fekir, Coutinho, Moses, Semedo
Real Madrid na Barcelona wamejiunga na kinyang'anyiro cha kumsajili winga wa Borussia Dortmund na England Jadon Sancho
5 years ago
BBCSwahili12 Jun
Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa 12.06.2020: Werner, Coutinho, Bellerin, Bellingham, Tolisso, Havertz
Barcelona wanamsaka beki kutoka Tottenham na Chelsea katika mkataba wa kubadilishana wachezaji utakaomjumuishwa Philippe Coutinho,27. (Sport via Mail)
5 years ago
BBCSwahili24 Apr
Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa 24.04.2020: Werner, Willian, Sancho, Vertonghen, Dalot, Coutinho
Manchester United wanafikiria kumuuza mchezaji wa nafasi ya ulinzi Diogo Dalot, 21, kwenda PSG.
5 years ago
BBCSwahili02 Mar
Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 02.03.2020: Sancho, Foster, Smalling, Koulibaly, Mertens
Winga wa Borussia Dortmund Jadon Sancho, 19, hana mawazo kuhusiana na hatma yake ya baadae licha ya tetesi zinazomhusisha na uhamisho wa kuenda Manchester United ama Liverpool. (Mail)
5 years ago
BBCSwahili13 Apr
Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 13.04.2020: Sancho, Ndombele, Rodriguez, Mertens, Mkhitaryan
Winga wa Borussia Dortmund na England Jadon Sancho, 20, hana mpango wa kujiunga na Chelsea, hatua ambayo inaiweka Manchester United katika nafasi nzuri ya kupata saini yake japo Real Madrid pia wanapigiwa upatu kumsajili nyota huyo. (Diario Madridista, in Spanish)
5 years ago
BBCSwahili22 Feb
Tetesi za Soka Ulaya Jumamosi 22.02.2020: Jota, Silva, Hodgson, Onana, Allegri, Sterling
Manchester United huenda ikamsajili mshambuliaji wa Wolves na Ureno Diogo Jota, 23. (Calciomercato) msimu ujao.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
05-May-2025 in Tanzania