Tetesi za soka Ulaya Jumanne tarehe 02.06.2020: Messi, Willian, Werner, Ighalo, Luiz, Wilson
Chelsea wanafikiria kubadili uamuzi wao kwa kumsaini mshambuliaji wa RB Leipzig Timo Werner,24, ikiwa Mjerumani huyo ataonesha nia utayari wa kuhama. (ESPN)
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili28 May
Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi 28.05.2020: Traore, Ighalo, Luiz, Werner, Tagliafico, Manquillo
Mshambuliaji wa Nigeria Odion Ighalo, 30, ametoa ombi la kibinafsi kwa klabu ya china ya Shanghai Shenhua, la kutaka kurefusha mkataba wake wa mkopo Manchester United. (Manchester Evening News)
5 years ago
BBCSwahili17 Jun
Tetesi za soka Ulaya Jumanne 17.06.2020: Willian, Sancho, Bale, Allan, Silva, Dembele, Werner
Manchester United imeonesha nia ya kumtaka Willian, Everton ikiendeleza azma yake ya kumsaka mchezaji wa Napoli Allan na mengine mengi.
5 years ago
BBCSwahili25 Feb
Tetesi za soka Ulaya Jumanne tarehe 25.02.2020: Aubameyang, Werner, Sancho, Fuchs, Matic, Xhaka
Kiungo wa kati wa Manchester United Nemanja Matic, 31, anatarajiwa kuondoka wakati mkataba wake utakapokwisha mwishoni mwa msimu huu.
5 years ago
BBCSwahili02 May
Tetesi za soka Ulaya Jumamosi 02.05.2020: Jimenez, Werner, Dembele, Henderson, Willian
Mshambuliaji wa Wolves na Mexico Raul Jimenez, mwenye umri wa miaka 28, amesema kuwa itakuwa vigumu kukataa ofa kutoka kwa klabu za Uhispania Real Madrid na Barcelona. (Express)
5 years ago
BBCSwahili24 Apr
Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa 24.04.2020: Werner, Willian, Sancho, Vertonghen, Dalot, Coutinho
Manchester United wanafikiria kumuuza mchezaji wa nafasi ya ulinzi Diogo Dalot, 21, kwenda PSG.
5 years ago
BBCSwahili13 Mar
Tetesi za soka Ulaya Ijumaa 13.03.2020: Partey, Belotti, Ighalo, Willian, Onana
Arsenal inajiandaa kuwasilisha ombi la kumsajili mchezaji wa Atletico Madrid Thomas Partey. Kiungo huyo wa Ghana, 26, ana kifungu cha pauni mmilioni 45 ili kuondoka katika klabu hiyo.
5 years ago
BBCSwahili05 Mar
Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi 05.03.2020: Kane, Stones, Werner, Angelino, Bellingham, Willian, Rakitic
Harry Kane hana mpango wa kusaini mkataba mwingine na Tottenham.
5 years ago
BBCSwahili31 Mar
Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 31.03.2020: Maddison, Willian, Coutinho, Lovren, Ceballos
Liverpool hawana mpango wa kumsajili tena kiungo wa kati wa Brazil Philippe Coutinho.
5 years ago
BBCSwahili10 Mar
Tetesi za soka Ulaya Jumanne 10.03.2020: Grealish, Bellingham, Lingard, Willian, Zakaria, Aguero
Manchester United inapanga uhamisho wa dau la £100m kumsajili kiungo wa kati wa Aston Villa mwisho wa msimu huu Jack Grealish, 24, na kinda wa Birmingham 16- Jude Bellingham. (Star)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania