TFDA WAFUNGA MONYESHO YA UTUMISHI WA UMMA KWA KUWA NA BANDA BORA
Mneja wa mawasiliano wa Mamlaka ya chakula na dawa (TFDA) Gaudensia Simwanza akiwa na kikombe cha ushindi katika maonyesho ya wiki ya utumishi wa umma leo katika viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa TFDA wakiwa katika picha ya pamoja wakifurahia kikombe katika viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es Salaam.
wafanyakazi wa TFD wakiwa na vyeti pamoja na vikombe vyao vya ushikndi katika kilele cha maonyesho ya wiki ya utumishi wa umma yaliyokuwa yakifanyika katika viwanja...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-LuR_yz-NAoQ/U6RAwRz5n6I/AAAAAAAFr-o/_q19glYltwQ/s72-c/No.+1.jpg)
Wananchi wahimizwa kutembelea Banda la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma
Wananchi wamehimizwa kutembelea banda la Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma katika maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Wito huo umetolewa na Afisa wa Maadili Mwandamizi Bw. Bazilio Mwanakatwe wakati akizungumza na Waandishi wa Habari waliotembelea banda la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma katika maonesho hayo.
Bw. Mwanakatwe aliendelea kubainisha kuwa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dzJVcnA3Xm2ttMQH0g3ae0bI0-YzPDU*kW9wxgKtCU1pgNNSWcT07ZNtTTNnTJzjiIVOWDHwq88TLTbKR-1i5keF*9Ve1NMR/TUZOYAJK1.jpg?width=650)
TUZO KWA JK YA UTUMISHI BORA WA UMMA BARANI AFRIKA YAKABIDHIWA JIJINI WASHINGTON DC MAREKANI
11 years ago
MichuziWateja wamiminika banda la NHIF wiki ya Utumishi wa Umma
10 years ago
MichuziWIKI YA UTUMISHI WA UMMA KATIKA BANDA LA OFISI YA WAZIRI MKUU.
10 years ago
VijimamboWananchi wazidi kumiminika Banda la Mambo ya Nje Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma
10 years ago
VijimamboKATIBU MKUU KIONGOZI ATEMBELEA BANDA LA MAMBO YA NJE KWENYE WIKI YA UTUMISHI WA UMMA
10 years ago
MichuziBanda la Wizara ya Mambo ya Nje lazidi kung'ara kwenye maonesho ya Utumishi wa Umma
10 years ago
Michuzi05 May
11 years ago
MichuziNHIF na huduma bora Wiki ya Utumishi wa Umma