TGGA WACHANGIA DAMU KUADHIMISHA SIKU YA KUMBUKUMBU YA WAASISI WA GIRL GUIDES
![](https://1.bp.blogspot.com/-LjP7O6Zoqzc/XlErDHg3oAI/AAAAAAAC78U/IHTSN9tvlyE5QLIJspWo7lHby-TNs405wCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200222-WA0037.jpg)
Chama cha Tanzania Girl Guides (TGGA) wamesherehekea siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa waasisi na waanzilishi wa Girl Guides Ulimwenguni kwa kuchangia damu salama.
Sherehe hizo hufanyika ifikapo Februari 22 kila mwaka.Akizungumza na Waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam Kamishina mkuu wa TGGA Tanzania Symphorosa Hangi amesema wameweza kusherehekea siku hiyo muhimu kwa kufanya shughuli za kijamii katika maeneo tofauti nchini pamoja na kuchangia damu.
Amesema, wamefanya shughuli za kijamii...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog12 Jun
Wafanyakazi wa Benki ya Barclays wajitolea Damu kuadhimisha siku ya Damu Duniani
Mfanyakazi wa Benki ya Barclays Tanzania, Agnes Mushi akijitolea damu ikiwa ni sehemu ya matukio ya benki hiyo kuadhimisha Siku ya Damu Duniani inayotarajiwa kuadhimishwa kesho. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana. Anayemtoa ni Mtaalamu wa kutoa damu kutoka kitengo cha Damu Salama, Judith Goshashy.
Wafanyakazi wa Benki ya Barclays Tanzania, Marcy Mwakajwanga na Kassim Kanyamara (kulia) wakijitolea damu ikiwa ni sehemu ya matukio ya benki hiyo kuadhimisha Siku ya Damu Duniani...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-aPyzhBkuULU/XuRvet2I3eI/AAAAAAALtqM/fPH1AEqIU1oO5BzqONJHfkD7_8C7s6sSQCLcBGAsYHQ/s72-c/yanga%252Blogo.jpg)
AZAM FC, TFF KUADHIMISHA SIKU YA UTOAJI DAMU DUNIANI KWA KUCHANGIA DAMU
![](https://1.bp.blogspot.com/-aPyzhBkuULU/XuRvet2I3eI/AAAAAAALtqM/fPH1AEqIU1oO5BzqONJHfkD7_8C7s6sSQCLcBGAsYHQ/s400/yanga%252Blogo.jpg)
Zoezi hilo la uchangiaji damu linatarajiwa kufanyika nje ya Uwanja wa Azam Complex kuanzia majira ya saa 6 mchana.
Juni 14, Azam itakuwa ikicheza mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) dhidi ya Mbao saa 1.00 usiku na kuhusisha watu wa aina mbalimbali.
Zoezi hilo la uchangiaji damu na kudumisha shirikiano huo...
11 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-EYXbjlLREWo/U5vgEQs9ECI/AAAAAAACjZM/ewbmg7rMYIo/s1600/EXIM+BLOOD+PIX+1.jpg)
BENKI YA EXIM YACHANGIA DAMU KUADHIMISHA SIKU YA UCHANGIAJI DAMU DUNIANI JUNI 14, 2014
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/---fnEB9MwfU/VX6cT_ZV_4I/AAAAAAAC6rg/G08Xq8b7HEA/s72-c/unnamed.jpg)
BENKI YA EXIM YACHANGIA DAMU KUADHIMISHA SIKU YA KUCHANGIA DAMU DUNIANI. DAR ES SALAAM: JUNE 14, 2015
![](http://4.bp.blogspot.com/---fnEB9MwfU/VX6cT_ZV_4I/AAAAAAAC6rg/G08Xq8b7HEA/s640/unnamed.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-IRxgF1BsE_U/VX6UusV8zuI/AAAAAAAC6qo/te0Vu82P4GA/s640/Exim%2BPicture%2B2.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/QsQ1m7RyND0R35zXuU9AQahsxHGCG9dTI-DHF29BWrdB7xav4zfk53O7gjXN-S4moUYfLRhjM4KMb7B49Y6iXZ5moBsndcp*/image.jpeg?width=750)
10 years ago
MichuziWAFANYAKAZI WA BENKI YA NBC WAJITOLEA DAMU KUADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
11 years ago
Tanzania Daima27 Mar
Girl Guides yaomba mishahara serikalini
CHAMA cha Tanzania Girl Guides, kimeiomba serikali kuangalia utaratibu wa kuwalipa mishahara makamishna wa chama hicho ili kuweza kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi. Wito huo ulitolewa jijini Dar es Salaam...
11 years ago
Mwananchi16 Mar
Waumini Sabato wachangia damu
10 years ago
Habarileo08 Dec
Bodaboda wachangia damu, madawati
UMOJA wa Madereva waendesha pikipiki wilayani hapa, mwishoni mwa wiki ulishiriki katika tukio la kihistoria, la kujitolea kutoa damu katika hospitali ya wilaya ya Serengeti ya DDH sambamba na kutoa mchango wa madawati 10, yenye thamani ya Sh 800,000 kwa shule za msingi za Kambarage na Matare.