Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


THC 1st ANNUAL GALA DINNER KUFANYIKA LEO

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Vijimambo

THC 1st ANNUAL GALA DINNER YAFANYIKA HOUSTON

Jumuiya ya Watanzania usiku wa jana ilifanya Dinner Gala ya kukata na shoka katika Ukumbi wa Safari Texas Ranch. Mgeni rasmi katika Dinner hiyo iliyohudhuriwa na idadi kubwa wa Watanzania kutoka nje na ndani jiji la Houston alikuwa ni Sheriff wa Harris County Adrian Garcia. Pata picha za shughuli hiyo hapa chini.

Sheriff Garcia akiwa na wenyeji wake kutoka kushoto Mahono, Katibu Nkunga, Monica, Madam President Nuru Mazora,Mrs.Garcia,Mama Tenende na Mzee Tenende
Sheriff Garcia akipata selfie na...

 

10 years ago

Vijimambo

VIVAZI RED CARPET THC 1ST GALA DINNER HOUSTON, TEXAS

Kwa picha zaidi ya vivazi bofya soma zaidi

 

10 years ago

Vijimambo

5 years ago

Michuzi

ATC 30TH ANNIVERSARY GALA DINNER



ATTN DMV FAMILY. 
NEVER MISS EVENT! 
A NIGHT TO REMEMBER 
30 years of the ATC!!. 
DRESS TO IMPRESS! 
Please register: 
Single $40/person Couple $75 Cashapp by Treasurer Lysa Bantu @+1 919-452-2746*. DMV will be lit🔥🔥🔥

 

11 years ago

Dewji Blog

Gala Dinner ya African Day Washington, DC

IMG_9932

Balozi wa kudumu wa African Union Mhe. Amina Salum Ali akiwa kwenye gwaride la bendera wakati hafla ya gala dinner ya African Day iliyofanyika Washington, DC siku ya Jumanne May 27, 2014 katika hotel ya Marriott na kuhudhuriwa na watu zaidi ya 2,000. African day ya mwaka huu iliandaliwa na Ubalozi wa Tanzania wakishirikiana na Ubalozi wa  Rwanda.

IMG_9954

Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mhe. Liberata Mulamula akiwa kwenye gwaride la bendera wakati wa ufunguzi wa Gala dinner ya African Day...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani